Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uliona mbali
 
Mbona ipo ivyo kitambo tu?
 
[emoji23][emoji23][emoji1787]

Alizungukwa na KDB, Foden, Gundogan, Silva, Sterling hakufunga mpaka achoke.

Huko anaenda kucheza na Odergaard, Saka, Nketiah, Pepe, Rowe na hiyo skeleton mlotoka kuisajili. Ngoja tuone atakapofunga mpaka achoke
Mlikuwa na dharau Sasa hivi majukwaa yenu yakiguswa kidogo mnatokwa mapovu
 
Wakati mwingine waga mnapenda kujitoa ufahamu hadi ufahamu wenyewe unashangaa...!

Kwahiyo wewe na Akili zako timamu unadhani Jesus hawezi Kufunga goli 5 pale EPL? au kwakuwa nawewe tu ume comment roho yako iridhike
Huyo Hana akili
 
Uliona mbali Sana
 
Uliona mbali ndugu
 
Zinchenko scores against England!

Always believe in your soul![emoji836]️[emoji837]
 
[emoji599] JUST IN from @FabrizioRomano:

Negations will continue between Arsenal and Martin Ødegaard for a new, long-term contract in the coming weeks, months. [emoji1189]
 
Zinchenko ameshawapiga England kamba

Anacheza kama No.8/10

Huku Arsenal Ni LB

Ukisia Wachezaji versatility na vipaji ndio Hawa sasa
 
Huyo dogo hapo na mpira ana miaka 14, na tayari alikuwa anafanya mazoezi na timu ya wakubwa..

Ni shabiki gani wa Arsenal hajawahi kumlilia Jack Wilshere?

Ipo makala ina kichwa cha

Started early, ended early

mwandishi aliandika kwa uchungu mno kuhusu hichi kipaji.. [emoji22]

Leo Arsenal tuna kipaji kingine Ethan Nanweri anatajwa Kama mrithi wa Wilshere ,ametimiza miaka 16 juzi tu Lakini ameshacheza mechi moja ya EPL amekuwa akifanya mazoezi na senior team .
 
Binafsi sikuping kuhusiana na Kai kwa sasa(ni mzigo kwelkwel) lakin naamin kuna kitu cha tofaut anaweza kufanya.
Bado anachance ya kuimprove na naamin Arteta anauwezo kumuongoza vyema kufika ambapo wote tunapataka refer kwa odegaard,partey,saka,viera,martinel and so on. So far amecheza na bado hatujafungwa gem hata moja kwaiyo ni mapema sana kumpa mzigo wa lawama kijana wetu
Tumvumilie kidogo tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…