Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mashabiki wa arsenal kwenye vichwa vyao wanaonaga kwamba makombe aliyochukua man city yameletwa na arteta then ndio akahamia kwao .

Wamesahau kuwa arteta alikua muokota Koni tu pale man cîty lakini wanavyomchukulia kama bonge moja la kocha hivi 😂😂.
Anyway tusubiri hio May.
 
Paul Scoles, juzi kati alinukuliwa akisema kama Arsenal watatwaa ubingwa Epl this season itakuwa the worst team ever kufanya hivo
Hapa alikuwa na maana kwamba sio kwamba nyie ni wazuri sana (master class) ni vile tu wenzenu wamejichokea ... the likes of city, liver, Chelsea, utd , spurs , Newcastle n k......

Soton tu wako championship huko wamewalomba, wachezaji wenu muhimu walikuwepo/walicheza .... saliba, Gabriel M, Ode, Victor, kai kiazi, Jesus, calafior, skelly , Zubimendi n.k !

Quadruple? Mtaisikilizia kwenye bomba
 
Arteta na SDs wenu walivyo viande, wakafanya ujanja ujanja wachezaji wote wakajitoa kwenye national team zako eti wameumia... wanarudi London for more checkups......

Kilichotokea ? Mpepakiwa mkongo .........watu wamejilombea tu ......

Ucl tena hata mkifika final , hamuwezi kushinda ....... Mark this comment!!!!!!!!!
 
Screenshot_20260405-112434.jpg
 
Hakuna kitu Chelsea haijafanya ili Arsenal wapate makombe. Tumewalea mpaka tukachoka — lakini bado wanarudi nyumbani mikono mitupu kama watoto wa mtaani huku wakiturudishia matusi juu badala ya shukurani 📚

▪️ Chelsea ilishinda Champions League na Petr Čech… Arsenal wakamchukua wakidhani atawaletea UCL kama delivery ya Pizza 📦

▪️ Chelsea ilishinda Europa League na Willian… Arsenal wakamchukua, akawasha moto wa backpasses tu 🔥

▪️ Chelsea ilishinda Premier League na David Luiz… Arsenal wakamchukua, akawapa mabao ya kujifunga kama binti mkaidi anayezalishwa kila mwaka 🤣

▪️ Chelsea ilishinda Champions League na Jorginho… Arsenal wakamchukua, wakafikiri “mfumo umeiva” kumbe ni penalty hop tu 🦗

▪️ Chelsea ilishinda Super Cup na Kepa… Arsenal wakamchukua, sasa wanamuita “backup ya backup” mbona kacheza hadi robo fainal ya FA akaizamisha boti nzima?🧤

▪️ Chelsea ilishinda Club World Cup na Noni Madueke… Arsenal wakamchukua, lakini bado hawajui wamweke wapi 📍

▪️ Chelsea ilishinda Intercontinental Cup na Kai Havertz… Arsenal wakamchukua, wakamgeuza kuwa target man wa maombi 🙏

Kwa kweli tumefanya kila kitu kwa ajili ya jirani yetu, lakini Arsenal bado ni timu ya kuumiza kichwa — kama WiFi ya bure ya stendi ya mabasi 🤦‍♂️💀😂
1775414160219.png
 
Yap Arsenal kazingua kutolewa na timu championship FA ila acheni upotoshaji baadhi wachezaji walicheza international break mzee , japo wengi hawakumaliza dk90 lbd hancapie na taifa lake na Gyokyeres na Sweden Yao, Zubimendi alicheza pia,Raya Spain mechi na Egypt,Calfiori na Italy sikumbuki Ben white na Martineli na Brazil yao,
So hao akina Saka na rice huenda ni kweli ni Majeruhi hawajaforge
 
Back
Top Bottom