Tatizo la Arsenal ni ufinyu wa kikosi!.. Baada ya Tierney, tomiyasu na Partey kuumia timu ilikosa balance, na kimsingi kuumia kwa hao watu watatu ndio kumetukosesha top fourFOOTBALL ni hela sio una buy cheap players na NON EXPERIENCE coach utegemee Maajabu No way at all


league na kuishia kwenye makundi ni bora ni heri sisi watu wazima tuendelee na life yetu Arsenal hii ya Kroenke ni useless, heart broken, heart attack ,disappointment
team in the world
one day utakuja kunielewa but now on I am sure umeanza kunielewa