mwanauvinza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 365
- 1,061
Hivi huo Mpira huwa mnaangalia ninyi wenyewe??Kai ana-upgrade nini pale Arsenal??anaongeza kipi kama si kupunguza??aiseee[emoji1787][emoji1787]kwamba Kai ananyumbulika na mwepesi kuliko Xhaka??huu uchambuzi wa wapi??Mpira ni mchezo wa wazi,huko kunyambulika kwa Kai ni kupi??au mimi sijui mpira wakati enzi zangu nilicheza mpaka Lipuli ya Iringa,kwamba Kai ka-upgrade na ananyumbulika[emoji1787][emoji1787]hii mpya kwa kweliThat's modern football
Kai anaenda upgrade mzuri wa xhaka, why? Because Kai ana nyambulika na ni mwepesi kuliko alivyokua xhaka
Kwamba Kai ana press[emoji1787][emoji1787]kweli humu JF kila mtu anaingia na Akili zake