Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Juzi nilikuwa nacheki game arsenal vs MLS ndani ya dk 25 za mwanzo nikaona mmh hii timu upepo umekata hata kupiga pasi ilikua shida , MLS amepata chance zaidi ya 6 ndani ya dakika hizo hizo ni vile wakina benteke wazee wanakosa utulivu , Puig kashika dimba utadhani sio yule barca waliomtema.

Huyu viera ivi mlimtoa timu gani[emoji23][emoji23] hata kupiga mpira tu hawezi , juzi nimemcheki pia nikasema humu, huyu hata championship tu haweziiii kucheza first eleven au tu timu iwe inamtegemea haiwezekaniii wakaja vijana wa praise humu oooh viera ame improve nikashangaa maana niliona dogo kidogo aliye improve ni marqhuinos huyu viera bado yule yule muoga aibu kibao kama pepe tena bora ya pepe .

Kitasa maguire naona leo yupo uwanja mzima mpaka kitambaa wamrudishie ana oveload na kupresss[emoji23].

Zitakuja false hope kesho humu “ tumewaachia washinde ili wavimbe kichwa wajiite title contender or hii ni friend match” sawa umewaachia mpira uliocheza wewe unaridhisha? Second half yote sijaona arsenal alichofanya hata ile kuleta threat kwa man utd hamna.

Amini amini nawaambieni arsenal fans nyinyi ni big 4 chasers this season[emoji23] Liverpool karudi Newcastle hatoki mule na man utd ndo huyo hapo hajafanya usajili anakimbiza mwizi kimya kimya

Msiogope kizurii match ya ligi arsenal vs man utd ni matchday 6 tu kama sio 7 naamini oveload na pressing bado hazijaanza timber hajawah inverted mid au zincheko hawa man utd watakufa 8 [emoji23][emoji23] , hope is always hope even its false hope.. come on bottlers!!
🤣🤣🤣🤣
 
𝗕𝗲𝗳𝗼𝗿𝗲 𝘁𝗵𝗲 𝗴𝗮𝗺𝗲: 'Ngoja uone vile tutawakamua mara'

𝗔𝗳𝘁𝗲𝗿 𝘁𝗵𝗲 𝗴𝗮𝗺𝗲:
1690075553112.jpg
 
Wamesusa uzi kwa muda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hii ni mechi ya kirafiki tu, ila points zenu 6 kwenye Epl bado ziko palepale.
Ni lini mara y mwisho umechukua point6 kwa arsenal kama haijapita miaka5 sijui mtu anaetupa mtihan wa kupata ushindi ni city pekee nyumbu wengn wote either mshangilie ushindi wa favour z marefa au sare....haka ka ushindi utakajutia nakwambia
 
Matusi ya nini tena mbona huwa unakasirika sana tukikuambia ukweli kijana, Tulia hapa sio kitchen party ushazoea u mc basiii unataka kuongea pekee yako.

Punguza hasira brother we are here against false hope and you are the one who bring false hope .
Huyu ni mpumbav na muongo..kama hatak kua Quoted aanzishe jamii forumn yake aiite Hamis Forumn awe anacomment mwnyw.. Ww hapa jukwaa la mpr hutak kua Quoted na unaongea mambo ya uongo we nan bana?
 
Ni lini mara y mwisho umechukua point6 kwa arsenal kama haijapita miaka5 sijui mtu anaetupa mtihan wa kupata ushindi ni city pekee nyumbu wengn wote either mshangilie ushindi wa favour z marefa au sare....haka ka ushindi utakajutia nakwambia
Punguza wenge basi mkuu, goli mbili tu tena mechi yenyewe ni ya kirafiki tu inakufanya unapagawa mpaka unashindwa kusoma comments vizuri?
Mashabiki wa Asaninyau kina Mc Masingeli ndio walikua wanatamba kua msimu huu Arsenongwa wana points zao 6 kwa nyumbu, mimi hapo ndio nimewakumbusha kua points zao 6 kwa nyumbu bado ziko palepale sasa wewe hapo hujaelewa nini?
 
Ni mtazamo wako na ni haki yako.unajua kwanini mechi kama ya leo ni muhimu?.kuna mengi ya kujifunza kuliko matokeo.
Kumbuka.IF YOU NEED TO BE A HERO BE A MAN FIRST
Tumepigwa 2 kwa zero na penalties tumelose what does it mean?yes ni friendly game but pia ndio inatakiwa userious uonekane hapo Ramsdale kwa penalties ni paka na panya kiujumla tumezidiwa na bado team haijakamilika August 6 vs Manchester City kwa squad hii unaona tutatoboa?even kwenye EPL and champions league?OK let's wait and see na problem ya baadhi ya fans ni kujiona wao football [emoji460]️ wanaijua sisi wengine tunakaa na kushangaa is it true kuwa tupo tayari kucompete na giants?unabaki unacheka tu jana Manchester United ni kipimo sahihi sana kwetu zaidi ya sana licha ilikuwa ni friendly tu
 
Naamka muda huu hata penalties pia tumepigwa?ohhhhh kweli nyumbu kapiga kila sehemu ya mshono
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaambiwa jana mpaka Magwaya alikua anapiga midfielder, anakusanya kijiji halafu anapanda nacho juu.

Kwa hii Asenyo ya msimu huu mpewe tu makombe yenu mapema kabla hata ligi hazijaanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom