Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,499
- 6,459
Hiyo pesa kubwa ndo pesa gani?Tena miongoni mwa makocha waliotumia pesa nyingi kwenye usajili na huyo jamaa yupo, pesa alipewa kubwa tu, hana kisingizio chochote zaidi ya kuprove failure.