Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Humu ndani ni computerarsenal tu na Labyrinth 84 peke yao ndio nyeupe husema nyeupe na nyeusi huiita nyeusi, ila wengine waliobaki wote nasubiri kwanza waone Mc Masingeli kasema nini halafu na wao wanashikilia mulemule alipokamatia Masingeli, humu ukienda kinyume tu na Masingeli unatishiwa mpaka maisha halafu unapigwa marufuku kumqoute
Sasa Flano hao jamaa Wana tofaut gan na wewe

Wote walitangaza wamehama Arsenal ,mmoja PSG mwingine Newcastle

Ni mpuuz tu ndiye atawasikiliza Kama Arsenal fans

Hao na wewe lao moja ,kuponda Basi

Kiufundi Jana Kocha alikuwa anaangalia combination ya New Signing Wana copy vipi na wachezaji wasiku zote

Hilo jambo linaenda taratibu ,Sasa nyie danganyaneni mna timu ya ubingwa
 
ila jana kinda la Academy Mainoo limekamata kiungo chote na kukiweka mfukoni, sijategemea jana jinsi sahani ghali ya ubwabwa duniani ya £105m kufichwa namna ile na katoto ka nursery.
Sio kweli ,kwa vile mlishinda mtaongea chochote

Kama ni kweli msisajili muende na huyo dogo ,
 
ila jana kinda la Academy Mainoo limekamata kiungo chote na kukiweka mfukoni, sijategemea jana jinsi sahani ghali ya ubwabwa duniani ya £105m kufichwa namna ile na katoto ka nursery.
Halafu nyie huwa pre season huwa mnashindaga mech zote ,hata martial mnasemaga ni Thierry Henry

Mwaka Jana mlibeba had kombe la pre season,
 
Sasa Flano hao jamaa Wana tofaut gan na wewe

Wote walitangaza wamehama Arsenal ,mmoja PSG mwingine Newcastle

Ni mpuuz tu ndiye atawasikiliza Kama Arsenal fans

Hao na wewe lao moja ,kuponda Basi

Kiufundi Jana Kocha alikuwa anaangalia combination ya New Signing Wana copy vipi na wachezaji wasiku zote

Hilo jambo linaenda taratibu ,Sasa nyie danganyaneni mna timu ya ubingwa
ila Masingeli unajua sana kuwafurahisha misukule ya Arteta kwa kweli kwa hizo false hopes zako.
Kikubwa sasa hivi nimefurahi jinsi unavyoanza kua matured, nilitegemea kwa kipigo cha jana wiki nzima hii utajipiga Ban mwenyewe.
Huu sasa ndio uanaume, kwenye shida na raha unasimama bega kwa bega na misukule wenzako, sio vile we unafanya kuwanao kwenye sherehe halafu unawakimbia kipindi cha maombolezo.
 
Flano wewe ni mwehu kinoma

Unajua malengo ya pre season kweli

Kwa mpira wa Jana Sion mkichukua hata point 1 kwetu
 
Manyumbu timu yenu imekamilika, ready for EPL na UCL.

Sancho anasimama CF, anasubiri ALABA, DIAZ au UPAMECANO afanye mistake ili ashinde.

Midfield mpo poa sanaaaaa, yule dogo wa jana anatosha plus makfledi.

Positive review kwenye mechi ya jana
 
Yah waambiwe hivo wafurahie
 
Bado huna timu yakuchukua point hata 1, bado mna mpira ule ule wakuvizia

Jana tulikuwa tunatafuta chemistry ya wachezaji wetu watatu wapya ,

Tunajua nyie mlikamia hata kocha wenu alisema , tunaona mnataka kuvunja saka ,ode

Magwaya sijui anataka kurudisha namba yake
Kama ulilijua ilo kwanini ulikubali kufanya prediction na mimi tena ukaweza ya goal 4 kwa bila mtazo tuchabanga

Kiko wapi Sasa yani Wenger orphans hata tulivyo wachalaza goal 3 kwenye ligi bado mkutaka kuamini.

Sasa mnataka tuwafunge wapi ili mjue sisi ni kiboko yenu Yani nishaga kwambia sisi hata tuamshwe saa 8 za usiku bila Kufanya zoezi lolote tupo na kausingizi tucheze na nyie dozi ipo pale pale.
 
Aliyekwambia ni Friend mech Nani?

Leteni timu iliyokamilika tupimane ubavu kenge nyie

3+7 Hag on Manchester United’s “friendly” against Arsenal

“We don’t play friendly games.”
Kwaiyo vipi ubavu mmeupima au bado
1684669151128.jpg
 
Arsenal vs manjesta

hata iwe chandimu hamna Friendly matches lazima tuuane

Hawa kesho ni kupiga za kutosha
Ni Kwa Vile Tu Sheria Za Kukimbia Mechi Ni Kali.

Manchesta Leo Wangetukimbia Wasingekuja Uwanjani.Siyo Kwa Arsenal Hii Braza Hakuna Kocha Anayetamani Kukutana Na Arsenal..!View attachment 2695876
Leo msilete timu uwanjan
Aliyekwambia ni Friend mech Nani?

Leteni timu iliyokamilika tupimane ubavu kenge nyie

3+7 Hag on Manchester United’s “friendly” against Arsenal

“We don’t play friendly games.”
Muhind kawapa odd ngapi leo
Sasa wewe subiri leo tutakachowafanya , kwasasa mnaingia kucheza na sisi Kama underdog

Hata makampuni ya kubashiri yamewachukulia Kama underdog

Ndio maana nasema mkishinda itakuwa habari , Tukishinda haitakuwa habari

Miaka ya Sasa nyie mmekuwa underdog
Historia haitasaidia leo kukwepa kipigo

Kwasasa mnaingia Kama undrrdog
Mimi yangu

Manjesta 0 Arsenal 4
Sio mahaba ,mwenzio Chelsea tulimkaanga 4-0 mwaka Jana kipindi Cha kwanza tu

Yaani Tena hizo 4 nimeweka ni minimum sitashangaa zikifika 5

Manjesta timu yenu hii ya kina mount View attachment 2696112
Hakuna Raha Kama kuwafunga manjesta

Na msimu huu mtatuchangia points 6 ,

Leo Kuna 4-0

Muhind kawaweka Kama underdog asee
Sijapenda vile Masebene jana hajafunga, ila Rashidi nae ule mgoli wa wazi alioukosa sijui alikua ashaingiwa na roho ya huruma?
Jana ilipendeza tungemaliza hata pakti moja tu.
 
Tunachangamsha tu ,

Ukweli nafas ya nyie kushinda ni finyu Sana ,mkishinda itakuwa habari

Ila Arsenal akishinda haitakuwa habari

KUNA UWEZEKANO ARTETA AKAPELEKWA JELA

Siku akianzisha Partey DM , Juu yake Ødegaard na Rice , kwenye Beki pembeni Timber na Zinchenko

Maana yake hapo Kati unakutana na mziki wa Partey Ødegaard,Rice , Zinchenko ,Timber wote mafundi wote wanakaa na mpira

Hapo possession ni 90%

Pass 800+

Goals anakufunga yoyote

Mkishinda au draw itakuwa habari ,Tukishinda haitakuwa habariView attachment 2695916
Hivi possession ilikuwa ngapi vile mkuu.
 
Sasa wewe subiri leo tutakachowafanya , kwasasa mnaingia kucheza na sisi Kama underdog

Hata makampuni ya kubashiri yamewachukulia Kama underdog

Ndio maana nasema mkishinda itakuwa habari , Tukishinda haitakuwa habari

Miaka ya Sasa nyie mmekuwa underdog
Usishangae ulitubetia mkuu upo zako unakunywa supu umewaponza wenzio kuwapa matumaini hewa.
1687764809090.jpg
 
Manyumbu timu yenu imekamilika, ready for EPL na UCL.

Sancho anasimama CF, anasubiri ALABA, DIAZ au UPAMECANO afanye mistake ili ashinde.

Midfield mpo poa sanaaaaa, yule dogo wa jana anatosha plus makfledi.

Positive review kwenye mechi ya jana
Kunywa kwanza maji mkuu taratibu.
 
Back
Top Bottom