Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Hayo ni maneno yako tu ya kujifurahisha, haukatwazi kuongea.Huyo Onana siyo kipa. Ananikumbusha utotoni mkicheza boli la mtaani mtu akikosa number ya ndani anawekwa golini. Jamaa nikimuona muda mwingi anatoka golini acheze ndani kama tulivyokuwa tunafanya sisi utotoni. Sasa jamaa Kwa sababu hajakubali kuacha utoto, tumefurahia sana ujio wake kwenu Ili walimwengu aka timu za premier league zimfunze na zimkuze
Mwamba huyo hapa leo na Arsenyau asipotoa goal assists zaidi ya 3 niulizwe mimi.