Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tulikuwa tunamlipa Ozil £350k per week anakaa bench , Auba £350k per week anakaa bench na muda huo hatupo UCL, Manjesta mkifanya hivi tu Adidas wanawakataga pesa na mnawapunguziaga wachezaji mishahara 25%

Braza this is Arsenal ,Bank of England ilikuwa inafahamika hivo baada ya dharau tumerudi

Mlisema Rice ataenda City ,hatuna hela ,Bayern akakimbia ,City akatupa taulo

Habari mbaya ni kwamba hatuna habari nzuri kwa ajili yenu [emoji1614]

Good morning [emoji1480][emoji1480]View attachment 2695930
Kama akija basi akae kwa kutulia, mambo ya kujifanya mkubwa kuliko club hatuyataki
 
Duh Saudia

[emoji599][emoji378] NEW: Al-Hilal are offering Kylian Mbappe a €400m contract, with a €200m fee to PSG. In this deal, the Saudi club would let Mbappe join Real Madrid in 2024. @FabriceHawkins
 
Unaweza kuta na hapa asikuelewe bado.

Au unaweza kuta anamuelewa mchizi Kama mchambuzi nguli humu jf, Sasa anatafuta umaarufu tu

Nimemuelewa jamaa sita quote chochote, kwamba nimuelewe mchizi kama nguli wa kuchambua humu jf[emoji23][emoji23][emoji23] huyu huyu rice alivyokuwa westham anasema ni mvunja kuni lakini kaenda arsenal uvunja kuni umepotea , mudryk anaitwa new neymar then kaenda chelsea anakuambia mudryk garasa hakuna mchambuzi anaweza kuwa na akili za kusema ivyoo, umaarufu utafutweJF, kweli ni akili ndogo zinaweza kuwaza hivyo.

Anyway false hope tutaendelea kuzikataa humu na spana tutazipiga akili ikae sawa
 
Duh Saudia

[emoji599][emoji378] NEW: Al-Hilal are offering Kylian Mbappe a €400m contract, with a €200m fee to PSG. In this deal, the Saudi club would let Mbappe join Real Madrid in 2024. @FabriceHawkins
wanatuharibia mpira hawa vibwengo
 
wanatuharibia mpira hawa vibwengo
[emoji599] @RMCSport are reporting that Chelsea and one OTHER unnamed Premier League club are interested in Kylian Mbappé.

Who do you think that club is? [emoji848]
 
Manjesta hapana wapo under limited budget

Liverpool hawa hata mchezaji wa £50m wale wamiliki wao wamekuwa wazito kutoa ,Sera yao uza nunua

Mancity ,may be ,ila Pep sio mpenzi wa wachezaj wenye ego Kama mbappe
Naona Newcastle. Wana Hela
 
Manjesta hapana wapo under limited budget

Liverpool hawa hata mchezaji wa £50m wale wamiliki wao wamekuwa wazito kutoa ,Sera yao uza nunua

Mancity ,may be ,ila Pep sio mpenzi wa wachezaj wenye ego Kama mbappe
Mpaka dirisha linafungwa shika hii kauli sisi tutatumia pesa nyingi za usajili kuliko nyinyi tunza hii comment.
 
Mpaka dirisha linafungwa shika hii kauli sisi tutatumia pesa nyingi za usajili kuliko nyinyi tunza hii comment.
Inawezekana maana Grazzer mwisho wa dirisha la usajili huwa wanapenda kucheza na akili zenu ili msahahu kampeni za kuwaondoa

Sisi tutatumia mwisho £250m Basi hatuvuki hapo
 
Mkishinda itakuwa habari Tukishinda haitakuwa habari
Sisi sio habari maana auna record ya kutufunga hata goal 4 toka Wenger awe coach wenu kama Kuna mechi toka Wenger aanze kazi mmewai tupiga hata goal 4 Njoo nayo hapa.

Nyinyi ni vibonde wetu tu ushindi wenu mkubwa ni kuanzia goal 3 kushuka chini napo lazima mechi iishe na sisi tumecheka na nyavu zenu.

Leta hata record kama hii Wenger orphans nyinyi.
1689476232207.jpg
 
Sisi sio habari maana auna record ya kutufunga hata goal 4 toka Wenger awe coach wenu kama Kuna mechi toka Wenger aanze kazi mmewai tupiga hata goal 4 Njoo nayo hapa.

Nyinyi ni vibonde wetu tu ushindi wenu mkubwa ni kuanzia goal 3 kushuka chini napo lazima mechi iishe na sisi tumecheka na nyavu zenu.

Leta hata record kama hii Wenger orphans nyinyi.View attachment 2696081
Sasa wewe subiri leo tutakachowafanya , kwasasa mnaingia kucheza na sisi Kama underdog

Hata makampuni ya kubashiri yamewachukulia Kama underdog

Ndio maana nasema mkishinda itakuwa habari , Tukishinda haitakuwa habari

Miaka ya Sasa nyie mmekuwa underdog
 
Kwanza niletee orodha ya timu zinazo ongoza kukutandika kwenye career yenu ya football tuione hapa ni nani mbabe wenu.
Historia haitasaidia leo kukwepa kipigo [emoji1787]

Kwasasa mnaingia Kama undrrdog
 
Sasa wewe subiri leo tutakachowafanya , kwasasa mnaingia kucheza na sisi Kama underdog

Hata makampuni ya kubashiri yamewachukulia Kama underdog

Ndio maana nasema mkishinda itakuwa habari , Tukishinda haitakuwa habari

Miaka ya Sasa nyie mmekuwa underdog
Underdog kivipi labda Mimi ndo sielewi yani msimu ulioisha tumegawana point Leo hii useme saizi Mimi ni underdog wako.
 
Underdog kivipi labda Mimi ndo sielewi yani msimu ulioisha tumegawana point Leo hii useme saizi Mimi ni underdog wako.
Kuwa underdog sio kwamba huwez bahatika kushinda

Mfano Leo wakamalia wanaipa nafasi Arsenal kuwapa pesa

Manjesta anapewa nafasi finyu ya kupata hata goli[emoji1787]

Wewe utaona leo Arsenal akishinda haitakuwa habari,subiri mshinde nyie mtafanya sherehe na mtatangaza mna gombea ubingwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom