hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Yaan flano unafurahia mech ya kirafiki ,tunajua mlikamia mkataka kuvunja wachezaji wetu ,Hilo tuliliona[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaambiwa jana mpaka Magwaya alikua anapiga midfielder, anakusanya kijiji halafu anapanda nacho juu.
Kwa hii Asenyo ya msimu huu mpewe tu makombe yenu mapema kabla hata ligi hazijaanza.
Hivi Jana tungeshinda simngejiona wabovu Sana
Kwasasa hivi mtamuona 7hag bonge la kocha , mtaona mmepiga mpira mkubwa