allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,331
- 10,957
Yani mjawai kutufunga hata goal 4 tu tushakuwa underdog wenu pole Ndugu naona unajifariji maana toka Wenger kawaacha mmekuwa kama orphans vile kazi kupiga kelele tu hapa.Historia haitasaidia leo kukwepa kipigo [emoji1787]
Kwasasa mnaingia Kama undrrdog
Game hii sisi tutakuwa tunapasha tu na makinda Leo ndo mtajua mmepigwa au.