sio kwamba tunamshambulia. Tunamuongelea yeye mana ndio huwa anatufungaga kamba kila siku, kuwa Arse888 ni shallon soccer ya EPL na dunia nzima. Ifike mahali na nyie kondoo muamke usingizini sio kila siku tu awaburuze.Wewe ni mnafiki sio shabiki wa arsenal,haiwezekani arsenal apoteze mechi uje kwa furahaa na kuanza kumshambulia Hamisi,ungejipambanua uko timu ghani tukujue,badala ya kufanya analysis ya mechi umekurupuka kuja kushambulia watu,unaelezea moyo wako kwenye maandishi yako
Arse88 sio timu mbovu ila pia sio timu kaaali kama anavyowaaminisha nyie kondoo kuwa hakuna timu wa kuifunga Arse88. hapo tu ndiko anakosea.