computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Uliwahi kupotea humu JF from April to June unajua hamis77 problem kubwa uliyonayo ni kuchanganya football [emoji460]️ vs Mahaba hili ndio tatizo lako kubwa siku ukitenganisha hivi vitu utakuwa hukimbii JF siku mambo yakiwa magumu una mahaba mazito na Arsenal that's why huwa logic zako zinachekesha sisi huwa muda wote tupo ni mfano uniambie Arsenal season hii atabeba EPL na Champion [emoji471] league ni jambo ambalo haiwezekani but sababu tunaipenda Arsenal for more than 27 years tutaendelea kuangalia mpira wao I repeat siku ukipunguza mahaba mazito na ukawa na jicho la 3 hautateseka abadaniHao wanatofaut gan na wewe ,wanatokea timu ikipoteza na kwenye negativity tu
Ni mpumbavu pekee ndio atawasikiliza
Jana ulisema hii sio friendly game ni vita na ukanena kuwa Odds nyingi kapewa Manchester United na ukanena Arsenal 4 -0 Manchester United Full Time sasa nani ni mpumbavu kati ya sisi na wewe kama ulivyouita?that's why nasema Mahaba yanakupoteza punguza hilo tu