Mo shyner
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 484
- 1,152
Gab: ntakuwa kama nawakoroga hivi, halafu nakupa pasi...
Rice: hapo mi natia kati..!
Gab: ntakuwa kama nawakoroga hivi, halafu nakupa pasi...
Hatari
Inashangaza sana mkuuUnaweza kuta na hapa asikuelewe bado.
Au unaweza kuta anamuelewa mchizi Kama mchambuzi nguli humu jf, Sasa anatafuta umaarufu tu
Hawa jamaa ni wehu, wAkianza kupanga timu, kiungo kinakua invertedna beki wa pembeni wanakuja kuoverload kiungo
, halafu viungo wao ni press resistance, viungo wa mbele wana interchange play
........
Kwa hayo maneno hata shallon soccer anakula goli 10, njoo kwenye uhalisia sasa dah!.
Ndio mana tunapenda kuja huku kwnye hili jukwaa kuondoa stress, mana huwa wanachekesha, Naomba Mod Flano kwa mamlaka uliyopewa hapa Jf uhamishe huu uzi uupeleke kule kwnye jukwaa la Jokes.


Au kama vipi niiunganishe tu na ile thread ya rikiboy ya kula kimasihara, maana zile kamba za kule hazina tofauti yoyote na hizi kamba anazowapiga Mc Masingeli hawa Wenger orphan.Leo msilete timu uwanjanAu kama vipi niiunganishe tu na ile thread ya rikiboy ya kula kimasihara, maana zile kamba za kule hazina tofauti yoyote na hizi kamba anazowapiga Mc Masingeli hawa Wenger orphan.
Acha unafiki , mbona unaumia Sana kuhusu Arsenal kijana
Unafiki ni mbaya


Kupiga spana ndio kuumia?
Arteta when asked about Declan Rice:
Arteta when asked about Mbappé opportunity on the market: 





Gab: ntakuwa kama nawakoroga hivi, halafu nakupa pasi...
Rice: hapo mi natia kati..!



Ni Kwa Vile Tu Sheria Za Kukimbia Mechi Ni Kali.
Manchesta Leo Wangetukimbia Wasingekuja Uwanjani.Siyo Kwa Arsenal Hii Braza Hakuna Kocha Anayetamani Kukutana Na Arsenal..!View attachment 2695876



yaani Friend mechi tu ndio tukimbie? Huyo Onana siyo kipa. Ananikumbusha utotoni mkicheza boli la mtaani mtu akikosa number ya ndani anawekwa golini. Jamaa nikimuona muda mwingi anatoka golini acheze ndani kama tulivyokuwa tunafanya sisi utotoni. Sasa jamaa Kwa sababu hajakubali kuacha utoto, tumefurahia sana ujio wake kwenu Ili walimwengu aka timu za premier league zimfunze na zimkuzeSisi haoooo
Kipa la boli a.k.a ukuta wa berlin.
Onana mmoja ni sawa na RasMadale 1000
Unaambiwa sio kudaka tu mpira bali ana uwezo wa kudaka mpaka matatizo yenu ya familia Kima nyie.
Onana kashamwambia Ten Hag hapo nyuma hataki kucheza na beki yoyote, mabeki wote wapande juu wacheze midfield, hivyo mjipange msimu ujao tunachezesha midfielders 6 halafu mipira yote ya kona na adhabu amesema ni jukumu lake.
Bado kuna Sufyan Amrabat na striker la magoli Rasmus Højlund wanatua wiki ijayo.
Msimu huu tusiporudia kumpiga tena mtu goli 8 niulizwe mimi. View attachment 2695133View attachment 2695134View attachment 2695135
Aliyekwambia ni Friend mech Nani?yaani Friend mechi tu ndio tukimbie?
Mashabiki wa Arsenyo hua mnafurahisha sana na hizo false hope zenu aiseeee.
