Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukitaka usisikie habari za arsenal au kuona watu wakiongelea timu Yao ni very simple....unaacha kuingia kwenye hili jukwaa hutakaa uone...unaongea as if unaumia saaana mkuu...watu wakikimbia au wasipokimbia ww kinakuwasha nn....after all hii ni platform ya mashabiki wa Arsenal... whichever timu unayosapoti nenda huko kwny timu yenu mkaongee mambo realistic kama unaona hmu Kuna hadithi za alfa na ulela
Huyo jamaa ni mnafiki ndio maana nilimwambia yeye anasema ni Newcastle why asifufue Uzi wao ,kila siku anakuja humu kukebehi mashabiki wa Arsenal

Kama kweli yeye ni Newcastle na anaiamin timu yake kuliko Arsenal ,afungue Uzi atapata wafuasi kuliko kuja humu kufanya unafiki

Haipendezi
 
Ode-trossard au ESR...Vieira huwa anacheza ila bdo simkubali sana unless msimu huu abadilike
Unapoteza muda kumjibu mtu ambaye anakufanyia unafiki

Mimi sitaacha kumwambia yeye sio Arsenal ni Newcastle ,wapi tutampata tumwambie kuhusu timu yake

Anasema sisi huwa tunakimbia ,OK

yeye na Newcastle yake anayoiamini mbona anashinda humu , yaan uwe unaiamin timu yako halafu kutwa kuishambulia Arsenal ,

Huu ndio unafiki ambao naupinga

Nikimtaka flano na Genge lake najua wapi nampata
 
Wewe ni mshika bunduki mwezetuu!!!!!!

Ila umeamua kujiweka tayari kisaokolojia, in case shit goes rogue!!!!

Nakuelewa brooooo!!!!!!!

Once A Gunner, Always A Gunner
Arsenal hakuna shabiki wa hivo ,

Niamini nachokwambia
 
Unatuchanya mkuu, mara unasema haifikii September tunapoteana, mara tena October.Hatukuelewi mkuu unachokiongea.

Haya tuachane na hayo, hebu chagua moja kati ya hizi chini

a. Partey+Rice+Odegard
b. Partey+Havertz+Odegard
c. Partey+Jorginho+Odegard+Havertz
Huwa mna kazi kumjibu huyo jamaa

Katika maisha hakuna kitu nachukia Kama unafiki

Wewe unasema fan wa Newcastle ,unasema Arsenal tutapotea ,OK

wewe Kama Newcastle fan una uhakika na timu yako ,weka jukwaa lako jamvini ,

Kuliko kufanya unafiki na kebehi, yote wivu kuhusu Arsenal Wala hakuna kingine
 
GOOD LUCK preparing to play against Arsenal next season. It'll be a guessing game.

If you press, which fullback will invert, and which #8 will drop deep? If you go man-to-man, they can play long to Havertz & can create artificial transitions.

If you sit deep, pff. No chance...
 
[emoji92]Baller Review – Mohammed Kudus[emoji92]
Club: Ajax
Nationality: Ghana[emoji1110]
Position(s): AM, RW, ST, CM
Preferred Foot: Left
Height: 5’10”/177cm
Age: 22
Strengths: dribbling, shot volume, finishing, speed, physicality, technical ability
Development Areas: weak-foot usage, decision making
20230718_211957.jpg
 
Ode-trossard au ESR...Vieira huwa anacheza ila bdo simkubali sana unless msimu huu abadilike
Huyo jamaa narudia ni mnafiki ,yaan yupo kukebehi ,amejitanabaisha amehama Arsenal ,ok fine move on

Kuna jamaa mmoja humu aliwahi sema amehamia PSG akakebehi Sana akisema hata top 6 hatutaingia ,ndio kipind Arteta anajenga timu , deadwoods kibao , tulipambana Sana ,Arsenal ilipoanza kukaa sawa kichezaji ,hataki tena kuambiwa yeye ni mshabiki wa PSG,

Sasa unafiki Kama huu sio mzuri


Unaiamin Newcastle ,ni Bora na itagombea ubingwa , ok Fine ,Kuna jukwaa lipo lilifungiliwaga na shabiki mmoja mnafiki wa Liverpool kipind klopp anafika ,baadae akalitelekeza akarudi Liverpool

Unafiki wa hivi lazima tuukemee
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mc Masingeli angekua mchungaji angepiga sana helaaaa.
Jamaa linawajulia sana Kondoo wake, yaani likianza kuwapiga Upako hakuna Kondoo anaechomoka.
Acha maneno mengi , mashabiki wa manjesta bhana

Hivi unajua Graza hawauzi Tena timu

Na casemiro kashanenepeana halafu mnawaza kuingia top 4
20230720_225008.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila £100m jamaa wamesema Caicedo haondoki

Roberto De Zerbi:

"Everyone is speaking about Moises, Chelsea maybe but me? No. The situation is very clear at the moment. Moises is a Brighton player and Tony Bloom told me, if the conditions don't change, Moises stays with us. For me, it would be great news."
 
London will never be red (bottlers)
[emoji23][emoji23][emoji23] Bottlers kila kukicha hua wanaforce waonekane na wao ni timu kubwa.
Kama kuna kitu kweli unacho unakua hata hautumii nguvu sana kuwaaminisha watu kua unacho, shida ni kwa yule ambaye hana halafu anataka watu waamini kua anacho.
 
Vinai Venkatesham (Arsenal CEO) says the heavy Arsenal spending this window is due to the ambition of the owners and that Arsenal will be ready "for the fight" this season

(@Bloomberg via @ChrgeCarrier )

youtube.com/watch?v=KN-oc6…
20230721_223651.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom