Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni kweli mechi yenu vs Wolves ndiyo ina tiketi za gharama ila walionunua wanajuta sasa hivi.
 
Kinachonishangaza zaidi, kuna fans wa arsenyau wanakwambia kwao kuingia top 4 ndio kitu walichokua wanakitaka zaidi, hiyo nyingine ni bonus tu.

Sasa hebu soma hapa chini halafu niambie tofauti ya arsenal na norwich, leicester, brighton, fulham ni ipi in terms of mentality.

Mafanikio ya vilabu vikubwa msimu huu

Man city- Epl tittle (almost)

Man u- carabao cup

Real Madrid- copa de rey, Uefa super cup, FIFA club world cup

Barcelona-La Liga

Liverpool-Community shield



UPANDE WA 2

Bournemouth- kubaki ligi kuu

Newcastle-kucheza uefa.

Crystal palace-kubaki ligi kuu

Brighton- kucheza Europa

Brentford-kucheza conference.

ARSENAL- kucheza uefa.


Mtu mzima na akili zake anashangilia arsenal kufuzu uefa na wanaondoka trophyless baada ya kuongoza ligi kwa zaidi ya siku 200.

the self proclaimed 'giants' with midtable mentality
 
SaSa ulitaka utoke wa 8 mpaka wa 1? Shukuru kuingia top 4. Hayo mengine ni majaliwa
 
Ndiyo zetu hizo 😄😄
 
Tutulie guys. Tuwapuuze Hawa washambenga wenye chuki nasi. Sisi tuna 5-year plan. Miaka 2 ya mwanzo imekuwa disappointing tukawa nyuma ya schedule. Sasa tumeongeza Kasi tukafidia miaka iliyopita na kuonekana tuko mbele. Binafsi naona hii imefidia na kuturudiaha tu kwenye reli ila Bado safari ni ndefu sana tena sana. Ingetokea tukabeba ubingwa ingekuwa poa sana pia japo siwezi kusema kama ingemaanisha tumekuwa Bora sana msimu mzima. Kuna kipindi tulikuwa wamoto na Kuna vipindi tulikuwa wabaridi. Mwishowe Hali ndiyo kama tunavyoiona. Cha muhimu tuendelee kuenjoy good moments sana, na tuhuzunike Kwa bad moments kidogo.
 
Pep alichotuzid ni longetivity tu ya kikosi chake kuliko sisi

Pep Sasa hivi hata akitufunga shuguli anaipata hata kumiliki mpira mbele ya Arsenal hawez

Haya huyo Pep wako ambaye akiongoza ligi hashuki yupo wapi kenge wewe
Imebidi niifuate hii comment, huyu pimbi popote alipo akamatwe tu haki ya mama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…