Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

WENGERSPLASH_1345146a.jpg
 
Scotland-v-Brazil-Neymar2_2578670.jpg
NEYMAR NI NOMA!!!!!!!...damn!...huyu dogo ni mkali balaa,...kwenye Copa America anang'aa si mchezo!...EPL nani wamemuwahi?
 
Scotland-v-Brazil-Neymar2_2578670.jpg
NEYMAR NI NOMA!!!!!!!...damn!...huyu dogo ni mkali balaa,...kwenye Copa America anang'aa si mchezo!...EPL nani wamemuwahi?

Dogo anaupiga, uingereza watamvunja huyu lol.

Mechi kali sana za Copa America, mie nawapa nafasi Colombia kuchukua kombe.
 
Scotland-v-Brazil-Neymar2_2578670.jpg
NEYMAR NI NOMA!!!!!!!...damn!...huyu dogo ni mkali balaa,...kwenye Copa America anang'aa si mchezo!...EPL nani wamemuwahi?
Wenger hamtaki? Chelsea na Man City walikuwa wanamvizia ila naona moyo wake uko Spain.
 


....Arsenal Pre Seasons,....nimeangalia Game zote mbili....bado tuna udhaifu kwenye umaliziaji.
Team na uchezaji tempo ni ile ile,....hapajabadilika lolote,...same old Arsenal.....fingers Crossed!
Good news ni huyu dogo MIYAICHI....ni mnoma balaa!....

Am dying to know 1st Eleven ya 2011/2012....!

gun__1310568508_malaysia13072011.jpg
....Arsenal Vs Malaysia 11

741118-8783367-317-238.jpg
...Arsenal Vs Greentown China.
 
JoelCampbell.jpg


19yrs old...JOEL CAMPBELL - Costa Rican Wonderkid!
 
...hawa forwards wanaosajiliwa ni ishara mbaya kwa Nicklas Bendtner!...

gun__1307698385_jenkinson06.jpg
...kwenye hizi pre season na uwezo wa Carl Jenskinson kwenye right flank, Eboue yu hatarini kukosa namba!...

 
DENILSON revealed his sadness at leaving Arsenal after completing a loan move back to Sao Paulo.

Good luck to him, Arsene alijitahidi kuwajenga imani kwa muda mrefu lakini hakuna dalili ya yeye wala akina Walcoltt, Bendtner, Vela na Diaby kupanda kiwango (Next level)
Anyway Asian tour so far nimefurahishwa na maendeleo ya Wilshere, Jenskinson na Gibbs, tatizo huyu Gibbs kitanda chake kule treatments room hakilazwi mgonjwa mpya, Mungu amsaidie aepukane na majeruhi msimu huu kwa maana tunamuhitaji sana.
 
Kusubiri kote huko kusikia usajili wa beki ndio tumeenda kuangukia kwa Jagielka? Kweli Wenger kiboko.

haha si yule wa charton fc... usiajili wetu wa kwanza.. tehtehe.. ungeona bao ambalo wachina walitufunga katika pre- seasson! kaka kawaida ni mpira wa kufa! kipa katema ... beki hakuna jamaa akacheka na nyavu


cheki mwanyewe bab

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom