Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

haha si yule wa charton fc... usiajili wetu wa kwanza.. tehtehe.. ungeona bao ambalo wachina walitufunga katika pre- seasson! kaka kawaida ni mpira wa kufa! kipa katema ... beki hakuna jamaa akacheka na nyavucheki mwanyewe bab
Nilicheki hii game mkuu.Kama alivyosema Mbu Arsenal ni hile hile hamna kipya .
 
Last edited by a moderator:
waWanataka tuwaongezee hela hao.pale Everton Wenger angeenda kujaribu kumchukua Baines ingekuwa dili sana.Manake nafasi ya Clichy pengo kubwa pale labda kama atale mabeki wawili wa kati hili Varmelen acheze kushoto.

Varm kushoto no,ni kuua kipaji chake,huyo Gibbs akiwa fit anaweza.
 
Varm kushoto no,ni kuua kipaji chake,huyo Gibbs akiwa fit anaweza.
Unaua kipaji vipi wakati Varmelen anaweza kucheza beki wa kati na kushoto pia.Mbona huwa anachezaga beki wa kushoto saa nyingine timu ya taifa? Kama tunapata beki ya maana kati pale Varmelen anafaa sana kushoto.Gibbs mzuri lakini hayuko tayari kwa challenge ya msimu ujao kama tunataka matokeo mazuri zaidi ya msimu uliopita.Gibbs huwa anajisahau sana akipanda mara nyingi nadhani itakuwa vizuri sana kumtumia kwenye mechi za carling cup na fa zaidi hili ajifunze na kuwa msaidizi.
 
Wakuu vipi? Nasikia Cesc amekubali kwenda kukaa kwenye bench la Barca Chacha chijui kama Robin Van Persie atapewa mikoba, lakini yeye mechi zake ni chache sana kwenye Ligi natumaini T5 anaweza kuwa kiongozi wa timu. Song mzuri pale kati kwa kuwakata viatu, chacha mikoba itakuwa kasheshe kwake.
 
Kusubiri kote huko kusikia usajili wa beki ndio tumeenda kuangukia kwa Jagielka? Kweli Wenger kiboko.

Prof hana wasi wasi na kihorohoro kama cha Fungie na Abraham O vic.

Oooops Manure na Chelsik msisome hii post khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee nani kawaita lakini ......
 
Wakuu vipi? Nasikia Cesc amekubali kwenda kukaa kwenye bench la Barca Chacha chijui kama Robin Van Persie atapewa mikoba, lakini yeye mechi zake ni chache sana kwenye Ligi natumaini T5 anaweza kuwa kiongozi wa timu. Song mzuri pale kati kwa kuwakata viatu, chacha mikoba itakuwa kasheshe kwake.
Wilshere ataiweza kazi mkuu,dogo namuamini sana.
 
Wakuu vipi? Nasikia Cesc amekubali kwenda kukaa kwenye bench la Barca Chacha chijui kama Robin Van Persie atapewa mikoba, lakini yeye mechi zake ni chache sana kwenye Ligi natumaini T5 anaweza kuwa kiongozi wa timu. Song mzuri pale kati kwa kuwakata viatu, chacha mikoba itakuwa kasheshe kwake.


Sébastien Squillaci atafaa sana, ana uzoefu wa kutosha na anongea kifaransa vizuri sana.
 
Wakuu vipi? Nasikia Cesc amekubali kwenda kukaa kwenye bench la Barca Chacha chijui kama Robin Van Persie atapewa mikoba, lakini yeye mechi zake ni chache sana kwenye Ligi natumaini T5 anaweza kuwa kiongozi wa timu. Song mzuri pale kati kwa kuwakata viatu, chacha mikoba itakuwa kasheshe kwake.

TV5 ali Captain team kwenye mechi zote za Asia,...Fabregas bora aende zake jamani,...Barca wame offer £33.5m nadhani ni offer nzuri sana. Fabregas anakwenda kuchemsha tu Barcelona, game yake ilikuwa inam suit vizuri Arsenal kuliko Barcelona.

Kimbembe kipo kwa Samir Nasri...Njemba imeshamkatalia Arsene Wenger ku saini Extension ya miaka mingine mitano kwa kitita cha £90,000 per week!

Bila ku sign mkataba, mwakani anakuwa free agent!....Arsene Wenger na ujinga wake huo,...alitakiwa amtie kitanzi angalau miaka miwili kabla mkataba haujaisha, Ona sasa kichwa kimemvimba mmanga, anajua Fabregas anaondoka, naye lazima atingishe kibiriti!...Pamoja na kuinua kipaji chake msimu uloisha...bado naamini Ramsey ana uwezo mkubwa kufunika pale kwenye kiungo.

 
Chinese Arsenal Fans Unfurl Fantastic Anti-Barcelona Banner Spotted during Arsenal's pre-season friendly with Greentown… yaani hii ilikuwa kali ya mwaka ""Barca pay 40million take Cesc away or go home to wank!!!" wachina wamewapa barca kavu kavu .. loved it

wank = slang for masturbation

aaaaaaaaaaaaaaaaaa
109884845_crop_650x440.jpg


habari ipo hivi

Chinese Arsenal Fans Give Barcelona A Piece Of Their Minds
"Barca pay 40million take Cesc away or go home to wank!!!"

This banner was unveiled at Arsenal's preseason match against Greentown, the gunners are on a tour of China.

This is one of the most interesting summers so far, at least for Arsenal fans, as they could potentially lose two of their best players.

Barcelona's interest in Cesc Fabregas is well documented and Samir Nasri could take the plunge into the bottomless pit of cash at the middle eastlands.

hawakuishia hapo kabla ya match walifanya hivi

ggggggggggggggggggg
Chinese_fans_burn_Barcelona_shirt1.png



Much Respect to Gooners!!! Funs!!!! in China!!!!!!!!!!!


gggggggggggggggg
attachment.php
Capture1.JPG
 
Sasa huyo jamaa anawaponda Barcelona wakati kavaa jezi, na mskafu wa Barcelona?
 
Tena vijana wamecheza vizuri, wilshere, walcott na gervinho wako sharp.
Ila bado tunaitaji Central Def na Midfielder.
Kwaio Chris Samba au Tim Cahill na Mata.

Hebu someni vi artcle vingine hapa.

It’s clearly states in the football fans bible ‘thou shalt not covet thy neighbours manager’ but this Spurs fan can’t help but make eyes at Arsene Wenger.
Grudging Respect: A Spurs Fan On Arsenal And The Professor In Charge | Football & Sport | Sabotage Times

[h=2]FC Cologne vs Arsenal, 1-2: Full time analysis and player ratings[/h]http://www.thegunninghawk.com/2011/07/23/fc-cologne-vs-arsenal-1-2-full-time-analysis-and-player-ratings/

‪FC Koln 1-2 Arsenal - Full Match Highlights - Friendly 23/07/11‬‏ - YouTube
1. Köln vs. Arsenal Video Highlights & Interviews (23rd Jul 11)
 
Gunners to take Nasri risk | Sky Sports | Football | Premier League | News


Hii kali wakuu wenzangu wa gunners, Wenger na wenzake wanataka wamuachie Nasri aondoke free mwakani badala ya kumuuza. Kwanza kwanini tunalamzimisha mchezaji ambaye kashaonesha hataki kubaki, kaomba aongezewe mshahara wamemuongezea na bado kakataa ku-sign.

Leo wanaona bora kukaa na mchezaji ambaye hana furaha ya kuchezea Arsenal kwa mwaka mmoja badala ya kuchukua hela wakalete kifaa cha maana.
 
Gervinho kapiga goli 2 ndani ya dakika 16 alizocheza leo..dogo jenkinson naye kajifunga. Arsenal 2 - 1 fc cologne.
Mkuu Majeruhi wameanza mapema sana msimu huu,hili liwe fundisho kwa Wenger TUNAHITAJI WACHEZAJI WAZOEFU.
on Conor Henderson's injury…

The only sad thing today is the injury to Conor Henderson, it looks quite bad but let us hope that we have good news tomorrow morning. He twisted his knee, I don't know how big the damage is but the first signs don't look too encouraging.


on any other knocks…

Samir got a kick to his ankle, Gervinho got a kick on his knee but both have minor damage.
 
Back
Top Bottom