Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
July 25th 2009: "I really believe if you are a player who thinks only about money then you could end up at Manchester City," said Clichy. "You have to think if you want to play for a big club and have your image or if you want to play for a good club and earn big money. When you ask someone to move for something like £300,000 a week it is just crazy.
July 4th 2011: "I'm really happy to be joining such a great club," said Clichy. "I hope I can add to the quality we already have here because we have a fantastic squad who I believe will continue to get better. I can't wait to get started and I think anything is possible with this team."
Hawa mwaka huu lazima washuke daraja,sasa ile number ya clichy nani atacheza???hahaha kweli Arsenal mwaka huu hawataki utani......
100% ur right man but umewaacha sagna na yule kipa dogo.Mkuu.....With all due respect..............Ni kwa nini mnaichukia Arsenal hivyo????....Why Arsenal this......Arsenal that kila siku??......Btw,binafsi sioni cha ajabu kwa Fabregas,Nasri wala Clichy kuondoka........Jiulize,wameifanyia nini Arsenal kiasi kwamba wakiondoka Arsenal watasikitika?,wameleta makombe?......Hapana................Waacheni waondoke tu waondoe Gundu(ashakum si matusi)....Waliondoka Patrick Vieira,Mark Overmas,Emmanuel Petit,Nicolas Anelka,Thiery Henry,Edu,Hleb,Ashley Cole na wengine sembuse hao,Arsenal itabaki kuwa Arsenal bana............Kwanza huyo Fabregas huko Barca ataenda kucheza nafasi gani kwenye 1st eleven?Ukweli ningependa sana kuona timu yote inafumuliwa na kubakiza wachezaji watatu(03),Robin Van Persie,Jack Wilshere na Thomas Vermaellen.....Hao wengine uharo tu na kocha wao AW........Watambae
Hawa mwaka huu lazima washuke daraja,sasa ile number ya clichy nani atacheza???hahaha kweli Arsenal mwaka huu hawataki utani......
Naona slowly Citeh wanaibomoa Arsenal...
Hawa footballers uwa hawana akili unajua lol
Naona slowly Citeh wanaibomoa Arsenal...
Hawa footballers uwa hawana akili unajua lol
Haiwezi kutokea...Duh.......Hii kali ya mwaka.......Yaani Arsenal ishuke daraja kwa kuondoka Clichy!!!!!!...........Si mchezo.....
.....Washika bunduki wenzangu likizo inamalizika, Roll-Call inawadia,....mpooooo?...
Wacha1, Balantanda, Michelle, Ng'wanza Madaso, Arsene Wenger, Kweli, Richard, Bubu Ataka Kusema, Questt....
![]()
ARSENAL, TOGETHER WE STAND!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Naona mazee Mchongoma unarudi kwa kasi ya hatari.
Nini utabiri wako msimu huu?
...Utabiri wangu Man U Bingwa, Chelsea number Mbili, Arsenal na Man Citeh tukigombea tatu bora..
Waache wajitwalie hayo matapishi yetu afu waishie kumuuza kwa mkopo kama walivyofanya kwa adelina(adebayor)!Feeder Club to Man Citeh Etihad
Jana,leo na kesho!.....Washika bunduki wenzangu likizo inamalizika, Roll-Call inawadia,....mpooooo?...Wacha1, Balantanda, Michelle, Ng'wanza Madaso, Arsene Wenger, Kweli, Richard, Bubu Ataka Kusema, Questt....ARSENAL, TOGETHER WE STAND!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!![]()
...Utabiri wangu Man U Bingwa, Chelsea number Mbili, Arsenal na Man Citeh tukigombea tatu bora..
Wape ubingwa mafioso na Manure wao lazima washinde then Mancs sisi washasema tutashuka daraja .... ..... ....... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee