Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
Lol huyo Adelina tayari ashajichukulia medali wenzake aliowaacha Arsenal bado wanaisaka.Waache wajitwalie hayo matapishi yetu afu waishie kumuuza kwa mkopo kama walivyofanya kwa adelina(adebayor)!
Lol huyo Adelina tayari ashajichukulia medali wenzake aliowaacha Arsenal bado wanaisaka.Waache wajitwalie hayo matapishi yetu afu waishie kumuuza kwa mkopo kama walivyofanya kwa adelina(adebayor)!
Wape ubingwa mafioso na Manure wao lazima washinde then Mancs sisi washasema tutashuka daraja .... ..... ....... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
The gunner mwenzenu, Kweli, ameshaitoa Chelsea kwenye title race hata kabla pre-seaon haijaanza.
Mkuu pole sana kuhusu Essien mazee, jamaa kifaa ila tatizo bahati yake mbaya majeruhi yamemuandama mno, slowly age catching up with him, is he 29 slash 39?
Mheshimiwa kila mwaka uwa mnatushangaza si unajua mnaanza vizuri mpaka February alafu mnaanza kudrop taratibu.
...mkuu wacha1 si unawajua hawa na kelele zao?,.....watashangaa wenyewe!
Mkuu pole sana kuhusu Essien mazee, jamaa kifaa ila tatizo bahati yake mbaya majeruhi yamemuandama mno, slowly age catching up with him, is he 29 slash 39?
Miaka yangu yote ya kufuatilia soka la bongo sijawahi kusikia mchezaji muhimu wa simba au yanga kawa sidelined kwa sababu ya majeruhi, wanatumia nini hivi?Ingawa wachezaji karibu wote waliozaliwa Africa wanadanganya umri, sidhani kama ndio tatizo linalosababisha matatizo ya magoti aliyonayo Essien. Nafikiri ni jinsi alivyo-overdevelop leg muscles leading to much strain on the knees....matatizo kama haya hata Rafa Nadal anayo, si uzee.
Lakini ni kweli wachezaji waliozaliwa Africa wanaregister umri pungufu, hili pamoja na AFCON labda ndio maana Red Nose Furge hawataki tena. Usijeshangaa ukiambiwa Song ana miaka 30!
Both Cesc and Nasri are already staying, we have already bought Gervinho to make up an attack that will frighten any defense.Now with an addition of Cahill and maybe a defensive midfielder its will be hard to see any team stopping us.
.....Washika bunduki wenzangu likizo inamalizika, Roll-Call inawadia,....mpooooo?...
Wacha1, Balantanda, Michelle, Ng'wanza Madaso, Arsene Wenger, Kweli, Richard, Bubu Ataka Kusema, Questt....
![]()
ARSENAL, TOGETHER WE STAND!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ex-Ghana FA chief Dr. Nyaho Tamakloe has launched an astonishing attack on Chelsea ace Michael Essien implying that he is an age cheat.Ingawa wachezaji karibu wote waliozaliwa Africa wanadanganya umri, sidhani kama ndio tatizo linalosababisha matatizo ya magoti aliyonayo Essien. Nafikiri ni jinsi alivyo-overdevelop leg muscles leading to much strain on the knees....matatizo kama haya hata Rafa Nadal anayo, si uzee.
Lakini ni kweli wachezaji waliozaliwa Africa wanaregister umri pungufu, hili pamoja na AFCON labda ndio maana Red Nose Furge hawataki tena. Usijeshangaa ukiambiwa Song ana miaka 30!
Miaka yangu yote ya kufuatilia soka la bongo sijawahi kusikia mchezaji muhimu wa simba au yanga kawa sidelined kwa sababu ya majeruhi, wanatumia nini hivi?
Miaka yangu yote ya kufuatilia soka la bongo sijawahi kusikia mchezaji muhimu wa simba au yanga kawa sidelined kwa sababu ya majeruhi, wanatumia nini hivi?
nacheki pre-season hapa kufurahisha macho.
...Defensive Midfield Emmanuel Frimpong.
Msimu uliopita jamaa alikuwa ametayarishwa kuja kuwa challenge kina
Denilson na Alex Song pale,....kuumia kwake ikawa blessing kwa Jack Wilshere.
Ndio kusema, Defensively tupo sawa sawa.
TV5 (Verminator) is back,....Diaby mnh sijui msimu huu atatuonyesha nini,....---team imekamilika. Nadhani Rosicky na Arshavin wamebakia kimtego mtego tu sasa, either watauzwa, au wamo kundini sababu ya Experiences zao.
Vilievile nadhani hali ya hewa inachangia na ligi yetu haina mchezo wa kasi na nguvu kama ligi za Uingereza na Hispania.Nafikiri wachezaji wengi bongo wanacheza huku wakiwa na injuries ambazo kwa standard ya Europe wasingeruhusiwa kuwa uwanjani.
Nakubaliana nawe, hutuko vibaya kihivyo.
Tatizo kabla ya ligi wachezaji wote wako fit, ila ligi ikianza, utasikia huyu kaumia huyo hachezi miezi 3 au 6, basi unakua karaha.
Swala ni Le Prof kununua wachezaji kama insurance, bado beki central defender na midfielder mmoja.
Le Prof mwenyewe anjua atamnunua yupi, sie tusubiri ku enjoy.
Nimewatizama uko Malaysia, hawako vibaya kwa kweli.
I can't wait for season to start, hasa ukichukulia tuna michezo mikali kama 6 au 5 ya fungua dimba tu!
Hii Kali kumbe macho yako huwa yanafurahi!