Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pale Machinjioni etihad mje mmeoga.
Maana mkijitahidi saana + huruma ya pep kwa mwanafunzi wake mtakula 4-nunge.

Tena na hapo ni baada ya kuwa fair tu kuwawekea wavulana wenzenu kina palmer, rico lewis, maximo perrone n.k ili iwe boys vs boys.
Ikiwa men vs boys tutakuja kuanza kuongelea habari za arseNANE.
 
Moyo unaenda mbio nikiona game za April zinazokuja kuanzia next week, Manchester City ana experience sana na game hizi ,kipara hajawahi kuanguka kwa marathon za namna hii anaweza akaboronga mwanzoni ila kwa game hizi za marathonje tutatoboa?Mungu atusaidie
Katika mashabiki wote wa Arsenyani hichi kichwa pekee ndio hua hakiendeshwi na mihemko ya kiushabiki.
IQ ya computerarsenal mmoja ni sawa na IQ za kina verifaidi yuza hamis77 mkorea na vihande vingine kama 100 hivi vya Arsenyau.
Ila ki ukweli computerarsenal huo uwezo wako wa kupambanua mambo hua nakuona unajidhalilisha sana kushabikia hili litimu lisilojielewa miaka nenda rudi ni mara 1000 hata ungeshabikia Newcastle United.
 
Kenge na fools watengeneze combined first eleven ndio waje kukutana na hii arsenal ya NDOO
Hapo ndio game itabalance

Liverfool
Wamekatika kuanzia nyuma, kati hadi mbele
Hakuna mchezaji wa Liverfool anaepata namba pale the gunners
Na hawazidi wachezaji watatu watakaopata namba pale Brighton au pale newCastle
Liverfool iyo jpil amepigwa chache basi ni 3 mtungi
KUMBUKIZI
Tujikumbushe jinsi hizi Kima zilivyokua zinaropokwa.
 
Jumapili tutakua na uzi wetu mweusi pale kwa wala pensheni FC

Wamejaribu kupumzisha baadhi wa wazee wakidhani wataweza kuukwepa msalaba wa jumuiya

Wasijiroge wakaleta mchezo wa kupishana kitachowapata wataenda kusimuliana View attachment 2579250
KUMBUKIZI
Tunajikumbusha jinsi hizi Kima zilivyokua zinaropokwa kabla ya mechi na Liverpool.
 
Ni kweli unavyosema ila kwa sasa no excuse katolewa FA ,Carabao na Europa league tuachage mentality za kinyonge ndizo miaka nenda rudi nyuma hatuna Big trophies kama EPL ,mpinzani wake yupo Champions league, FA ,sisi tuna EPL pekee why tuone second place ni sehemu ya kuridhika na still tupo top hadi sasa?kwa sasa tulipo tukishindwa kubeba EPL na still 9 games zimebaki itakuwa ni tumefeli vibaya mno angalau hata tungeshika nafasi ya 3, kuliko mwaka mzima tuwe namba 1 then tumalize second place without FA,Carabao au Europa league medal !
Kumbukizi:
Mentality ya namna hii ni nadra sana kuikuta kwa mashabiki wa Arsenyau, huyu jamaa jinsi alivyowazidi IQ ndio maana hua wamuona kama vile ni mamluki.
Shabiki mwingine wa Arsenyau anaejitahidi kidogo nae kutoendeshwa na mihemuko ni HENRY14 huyu jamaa pekee ndie anauwezo kuingia humu na kucomments hata baada ya timu yao kufungwa.
wengine wote waliobaki ni Maharage matupu wazee wa kujipiga ban wenyewe.
 
Back
Top Bottom