Jezi kama za timu za South Africa. Hii hapana
Aliyekwambia sisi malengo Ni ubingwa nani?Sema mashabiki wa Arsenal mnajiona tayari mshakua mabingwa
Tunawasubiri mwishon mtakapo ukosa ubingwa mtalia machozi ya damu
Hayo maneno yakwamba mtalia machozi tumeyatoa hapaAliyekwambia sisi malengo Ni ubingwa nani?
Ligi inaanza hata Top 4 hamkutuweka ,mlisema manjesta Ni Title contender ,haya maneno yakwamba tutalia machozi mnayatoa wapi?


@Flano katika ubora wako; kwahyo huyo ndo msemaji wa Arsenal sio? Usisahau pia kutafuta na comments za yuda ambaye kwa sasa ni nyumbu mwezio Ngongo za 2015s nazo uziattach.Hayo maneno yakwamba mtalia machozi tumeyatoa hapaView attachment 2576028View attachment 2576030View attachment 2576031
Picha inaonesha Liverpool ndio wame create overload 6v3, that means City were underloaded in that regard. Switch of play kwa Grealish ambaye yupo isolated inatokana na lack of intensity kwa upande wa liverpool. Na hii inaonesha level ya liverpool this season as they were used to pressing aggressively in the past, nini kimewakuta leo paka kusahau fundamentals?Cheki kwenye picha hii OVERLOAD ya city ilivyowafanya Liverpool wageuke KITAYOSA
Liverpool alifanyiwa hivi hivi na Brighton mechi zote 2 ,
Mechi yetu jumapili najua tutawfanyia hivi hivi maana kwasasa tunafanya OVERLOAD , POSITIONAL PLAY ZA KIWANGO CHA SGR ,
Imagine City hii iliona Bora ipaki timu wavizie individual errors tu
Kuelekea hii mechi tunatakiwa kuepuka makosa madogo madogo,kuepuka Kaunta attack .
Tutumie nafasi mapema ili kuwafanya Liverpool waliamke na kuzidi kutuachia mianya
Kumkosa saliba pale Nyuma Ni pengo maana kwenye kufanya hizi OVERLOAD alihitajika
Rob holding atatakiwa ku rise game yake View attachment 2576404
Baada ya kipigo heavy kutoka kwa Newcastle kwa mara ya kwanza umecomments😂😂FlanoHayo maneno yakwamba mtalia machozi tumeyatoa hapaView attachment 2576028View attachment 2576030View attachment 2576031
Dah


ila hamis77 bwana Chelsea inafanya vibaya uiongelei Liverpool inafanya vibaya uiongelei.Ndio mechi ya mwisho ,tukishinda nimemuahidi mwanangu namnunulia jezi ya Arsenal mpyaSawa ni Anfield, lakini kwa mpira huu ndo tufungwe na Liverpool?
Tutafungwa na uwanja lakini sio kwa kiwango. Liverpool wanaacha ma space makubwa, easy to be punished.
Sasa sina uoga tena, naisubiri fixture ya jumapili kwa hamu.
Mechi ya City, Partey akiwa fit naenda nae jino kwa jino.Ndio mechi ya mwisho ,tukishinda nimemuahidi mwanangu namnunulia jezi ya Arsenal mpya
Liverpool anaacha magepu Sana ,
Maana sion mechi ya presha nyingine Tena , huyo city namtamani Sana ,




Kwa rundo lile la wachezaji, ana kazi kubwa akipata kibarua.Tusiyempenda kaja darajani daaahView attachment 2577112