Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Makocha bora wanaongezeka EPL safi sanaTusiyempenda kaja darajani daaahView attachment 2577112
Makocha bora wanaongezeka EPL safi sanaTusiyempenda kaja darajani daaahView attachment 2577112
Alikuwa na ubora upi alipopewa timu ya Taifa ya Hispania?Makocha bora wanaongezeka EPL safi sana
Mbona huulizi alikuwa na ubora gani alipokuwa Barcelona?Alikuwa na ubora upi alipopewa timu ya Taifa ya Hispania?
Sasa ile Barcelona iliyokuwa na MSN ingekushinda hata wewe kuikochi na kukujazia mafanikio tele ilihali ilikuwa na viungo Wachezeshaji mahiri chungunzima?Mbona huulizi alikuwa na ubora gani alipokuwa Barcelona?
Yani unataka kujaji kocha kwa performance ya team ya taifa?
Hii ndo tabia ya kuzalau taaluma za watu.Sasa ile Barcelona iliyokuwa na MSN ingekushinda hata wewe kuikochi na kukujazia mafanikio tele ilihali ilikuwa na viungo Wachezeshaji mahiri chungunzima?
Haya mkuu, naheshimu mawazo yakoSasa ile Barcelona iliyokuwa na MSN ingekushinda hata wewe kuikochi na kukujazia mafanikio tele ilihali ilikuwa na viungo Wachezeshaji mahiri chungunzima?
Mi namsubiria huyo tembo aliesimama kwa mguu mmoja juu ya mti aanguke ndio nitie timu rasmi humu.
Huyu kijana muhuni tu huyu.Serbia forward Dusan Vlahovic, 23, would be open to joining Arsenal this summer, having rejected the Gunners for Juventus last January. (FourFourTwo)
JACOB MURPHY; Arsenal ndo team ngumu zaidi ambayo tumekutana nayo msimu huu














Leo nakuombea upasuke tena😂😂Mi namsubiria huyo tembo aliesimama kwa mguu mmoja juu ya mti aanguke ndio nitie timu rasmi humu.
Ila msimu huu mmejua kutuweka na dukuduku, kila tunapowaombea mabaya ndio kwanza mnazidi kubarikiwa kima nyie.
Hakika kila mnapofunga magoli ndio mnazidi kutufunga pia midomo.
Hakuna ataempokea hapo EmiratesSerbia forward Dusan Vlahovic, 23, would be open to joining Arsenal this summer, having rejected the Gunners for Juventus last January. (FourFourTwo)
Akafie mbele huko hatumtaki,Serbia forward Dusan Vlahovic, 23, would be open to joining Arsenal this summer, having rejected the Gunners for Juventus last January. (FourFourTwo)
Aende Chelsea pimbi tu huyuAkafie mbele huko hatumtaki,
Alituchukulia poa sana huyo kipindi kile, akachagua juve
Sio zile za Jersey nyeupe?nahisi tulivaa mara moja pekee vs Crystal Palace but nyeusi nazikubali sanaJumapili tutakua na uzi wetu mweusi pale kwa wala pensheni FC
Wamejaribu kupumzisha baadhi wa wazee wakidhani wataweza kuukwepa msalaba wa jumuiya
Wasijiroge wakaleta mchezo wa kupishana kitachowapata wataenda kusimuliana View attachment 2579250
Zile ni pink boss, huenda tukavaa huko mbeleni tenaSio zile za Jersey nyeupe?nahisi tulivaa mara moja pekee vs Crystal Palace but nyeusi nazikubali sana