The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Imeisha iyoooo tujipange msimu ujaoo sisi mashabiki wa Ass'anal.
Usikae ukaumiza kichwa chako kdg kutafuta vitu vya kunisema. Arsenal is there and I am & still be Arsenal fan. Does that bother you?Nenda kalilie kwa choo [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kigi Makasi kabeba kifurushi chake cha wali huku akiwachamba mashabiki wa Chelsea, Liverpool na Manchester United.Chelshit, Liverfuul, Man7 yamejazana hapa kujaribu kuisema Arsenal ambayo ipo vizuri zaidi yao na nyote imewakojolea.....
Jifuteni mwende kwenye majukwaa yenu wangese nyie.
Arsenal has still improved in its own way, Title winning wasn't in our plan before the start of the, it just came by the way and might leave the same way it came.
We are still playing game-by-game and focus on NEXT GAME.
Tokeni mkazungumzie hali zenu kima nyie
Sasa makasiriko ya nn si mnaongoza ligi nyie, nilitegemea utanijibu hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usikae ukaumiza kichwa kdg kutafuta vitu vya kunisema. Arsenal is there and I am & still be Arsenal fan. Does that bother you!
Usijipe kazi ambayo haikulipi wala usiishe maisha ya kujaribu kuwakera au kuwaamulia wenzio waishi vipi.
Ishi na ujinga wako mwenyewe
Kaa kwenye njia yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kigi Makasi kabeba kifurushi chake cha wali huku akiwachamba mashabiki wa Chelsea, Liverpool na Manchester United. View attachment 2591979
Giggy punguza makasiriko ndugu yangu,Kaa kwenye njia yako.
[emoji1646]Hii timu sijui inakuaga na pumzi ya buku
[emoji1646]