Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,111
- 16,162
Battle ya kiungo sina shaka, uwepo wa Partey ndo kila kitu.. nina uhakika tutachuana.
Kule mbele Jesus akiendeleza moto wake aliouwasha kwenye mechi iliyopita kwa kuwa aggressive na kupress defence ya Liverpool vizuri, basi hatutakosa chochote kitu mana kuanzia kwa Allison na zile beki VVD/Matip wapo pale kwa ajili ya kufanya makosa. Beki pekee wa kufuta makosa yao ni Konate.