Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
Naskia saliba hatokuepo tarehe 26.
kwa beki holding na magalhes mbele ya city hii ya treble nakupiga 6 kavu.
kwa beki holding na magalhes mbele ya city hii ya treble nakupiga 6 kavu.
Timu yako ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo boss?AssAnal hamjawahi kujitambua
Mm najijua niko mbovu, kuliko AssAnal wanaoangusha point dkk za mwishoTimu yako ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo boss?
Unaona mlivyo kichwan zimepungua, nyie mnamaliza nafas y pili mnatofaut gan na watakaomaliaza nafasi y 17.Timu yako ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo boss?
Kumbe atakayemaliza nafasi ya 17 na 2 wanafanana? Nilikuwa sijui bossUnaona mlivyo kichwan zimepungua, nyie mnamaliza nafas y pili mnatofaut gan na watakaomaliaza nafasi y 17.
Mtasema nafasi ya UEFA halafu mnaenda kufanya nini? Miaka kibao mlikua mnaenda kujamba jamba tu.
Ndio mjue leo nyie mazwazwa wa Arteta, hamna kombe lolote kw atakaeishika nafasi y pili mpk 20.Kumbe atakayemaliza nafasi ya 17 na 2 wanafanana? Nilikuwa sijui boss
Ushabiki raha sana, yaani mtu timu yake hata ifanye vipi haiwezi kuikuta Points za Arsenal lakini anakuja hapa kubwabwaja kisa Arsenal amepata Sare mechi za Liverpool na ya Jana dhidi ya Westham Utd.
Ni kweli jana tumepata Sare lakini still bado tuna nafasi ya kushinda EPL, huyo City bado ana mechi ngumu vile vile kama Arsenal tu.
Muhimu tufocus na michezo iliyobaki tuhakikishe tuna shinda huku tukimwombea Mpinzani wetu naye apoteze alama kwenye michezo iliyobaki



hizi ni false hope mkuu… city hana mechi ngumu. Tuhakikishe tunashinda vipi kama tunaanza mechi ndani ya dk30 tunaongoza 2 na bado tunachomolewa kibwege, tushinde ngapi ili zisiwe zinarudiii labda 5 nakuendelea ndo zisirudiii!!Tukutane baada ya dakika 90 Mkuuhizi ni false hope mkuu… city hana mechi ngumu. Tuhakikishe tunashinda vipi kama tunaanza mechi ndani ya dk30 tunaongoza 2 na bado tunachomolewa kibwege, tushinde ngapi ili zisiwe zinarudiii labda 5 nakuendelea ndo zisirudiii!!
Now hata tuongozee goli ngap hatuamini mpaka FT.
The title race is over baada ya draw ya jana haya mengine ni matumaini ya uongo.
Nyie mnabeba kombe gani?Ndio mjue leo nyie mazwazwa wa Arteta, hamna kombe lolote kw atakaeishika nafasi y pili mpk 20.
Hizi kima huko Uefa zinaenda kutia aibu tu, maana mapema zinafurushwa, zinachomolewa kwenye hatua ya awali ya makundi na kurudishwa kwenye ligi yao ya futuhi(Europa)Unaona mlivyo kichwan zimepungua, nyie mnamaliza nafas y pili mnatofaut gan na watakaomaliaza nafasi y 17.
Mtasema nafasi ya UEFA halafu mnaenda kufanya nini? Miaka kibao mlikua mnaenda kujamba jamba tu.
Tulieni arsenyani man u tulivyo chapwa goal 7 na Liverpool mlijaza uzi wetu nyie wenyewe wiki nzima tulieni tuwape dawa kidogo.Yaani Ina maana sisi wana Arsenal hatupo kabisa kwenye huu Uzi ? Naona watu wa City, Nyumbu na Chelsea tu daah