Kajamaa huwa kanawajaza upepo wenzie kakishawaambia mambo ya pressing & overloading wanajiona wana booonge la timu, timu ikizingua kanakula kona.Nenda ukajinyonge kamba nitakupa mimi![]()
Mtaenda kupoza machungu kwa soton, Mkishampiga 2-1 mtakuja tena humu kudanganyana pressing and overloading halafu unakuja pale demolition ground, Etihad stadium unakula mkono na hapo ndipo fans wote wa arsenyani mtakula kona tutakuja kuwaona mwezi august.Herzog hakauki humu. Acha tu tukutane na City tuwapige atulie kwake
Naunga mkono hoja.Hawa jamaa wakikosa hiyo ndoo inabidi waitwe MAKONDOO
Basi tufanye hivi, kila mtu ashinde mechi zake. Halafu mechi ya Etihad ashinde Man City maana Arsenal kufungwa ni lazima.Ushabiki raha sana, yaani mtu timu yake hata ifanye vipi haiwezi kuikuta Points za Arsenal lakini anakuja hapa kubwabwaja kisa Arsenal amepata Sare mechi za Liverpool na ya Jana dhidi ya Westham Utd.
Ni kweli jana tumepata Sare lakini still bado tuna nafasi ya kushinda EPL, huyo City bado ana mechi ngumu vile vile kama Arsenal tu.
Muhimu tufocus na michezo iliyobaki tuhakikishe tuna shinda huku tukimwombea Mpinzani wetu naye apoteze alama kwenye michezo iliyobaki
Chukulia tumetoka Sare hiyo mechi na City alafu hizo factors nyingine zibaki constantlyBasi tufanye hivi, kila mtu ashinde mechi zake. Halafu mechi ya Etihad ashinde Man City maana Arsenal kufungwa ni lazima.
Mpaka hapo bingwa atakuwa nani? 😂
Lolote linawezekana kwenye football ila, the odds are against Arsenal. That's it.Chukulia tumetoka Sare hiyo mechi na City alafu hizo factors nyingine zibaki constantly
Mpira wa miguu ni mchezo wa maajabu, subiria kila timu imalize michezo 38 tuone ilichovuna.Lolote linawezekana kwenye football ila, the odds are against Arsenal. That's it.
Hawa wahuni kitu walichonikera zaidi ni ule Uhaini wao wa kujitangazia ubingwa mapema kabla hata ligi haijafika nusu."thithi atheno namna tunavyofanya prething, namna odegaard anavyo thwich play, namna dhinchenko anavyokuja kufanya overloading, namna tunavyofanya bildapu, hakuna timu inatamani kuja kuchedha na thithi atheno"
atheno karai
haaland kiatu.
Kumbe arteta anapengo😂😂😂😂Hawa wahuni kitu walichonikera zaidi ni ule Uhaini wao wa kujitangazia ubingwa mapema kabla hata ligi haijafika nusu.
Akili zao walishaziaminisha kua kubeba kombe la ligi kuu ni rahisi tu kama kubebe FA Cup.
Tena walivyo wapuuzi wakawa wanajazana ujinga eti mbinu nyingi za mpira Pep Guardiola amejifunza kutoka kwa Arteta. View attachment 2590958
AssAnal hamjawahi kujitambuaMuhimu tufocus na michezo iliyobaki tuhakikishe tuna shinda huku tukimwombea Mpinzani wetu naye apoteze alama kwenye michezo iliyobaki
Wazee wa arsenal ndoo halaand kiatu 😂😂😂😂Westham watakufa magoli sio chini ya manne wakiwa nyumbani kwao