MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,138
- 12,658
[emoji38]Hii arsenal ya NDOO ni hatari Sana
2
[emoji91]
[emoji38]Hii arsenal ya NDOO ni hatari Sana
2
[emoji91]
[emoji38]From this date ndoto za ubingwa nimefuta
[emoji38]Nuru inapotea si arsenal wala yanga yangu [emoji17]
Mimi kama mshabiki wa man u ambae naipenda epl ambayo eventually imeelekea kuwa one team's league. Sio kitu kizuri kwa wapenda sokaUlitaka Arsenal achukue.
Wewe kama nani? [emoji23]
Hakuna kitu kama hicho arsenal wana mdomo sana.Mimi kama mshabiki wa man u ambae naipenda epl ambayo eventually imeelekea kuwa one team's league. Sio kitu kizuri kwa wapenda soka
Lomolomo efsiiTutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG [emoji378][emoji95][emoji91]
Ona sasaTutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG [emoji378][emoji95][emoji91]
Naendelea kusisitiza. Huwezi ku draw game uliyoongoza 2-0 wakati wewe ni title contender.Arsenal ni disgrace. Unawezaje ku draw game uliyoongoza 2-0 wakati wewe ni title contender.
Hizo sio tabia za mabingwa. City ana kiporo kimoja. Race yenu imeishia hapa.
Save this
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]y'all needed this humble maana u became so cocky. Binafsi nilitamani City asichukue ubingwa ila mashabiki wa Arsenal mnakera sana kwa makelele so take that L.
Bitch, be humble (hol' up, bitch)
Sit down (hol' up, lil', hol' up, lil' bitch)
Be humble (hol' up, bitch)
Sit down (hol' up, sit down, lil', sit down, lil' bitch)
Be humble (hol' up, hol' up)
Bitch, sit down (hol' up, hol' up, lil' bitch)
Be humble (lil' bitch, hol' up, bitch)
Sit down (hol' up, hol' up, hol' up, hol' up)
Niliwaambia msibishane na wajinga wajinga hawajui kitu
Wachana mikeka haoYani timu hii kweli ni kimeo.
Hampo FA
Hampo ueropa
Yani mkitoka bila kombe mwaka huu mtafutage pakujificha tu venye mna midomo tume andaa meme laki mbili kwa ajiri yenu.