Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,577
Aliesababisha penalty alikua Nani?Wangemuamini nani?
Aliesababisha penalty alikua Nani?Wangemuamini nani?
Angalia game yetu ya msimu uliopita dhidi ya Totenham (ya kuamua kwenda UEFA). Holding limeingia limepanick, tukafa.
Angalia game yetu dhidi ya City ya FA. Arteta anaweka rotation ya kisenge, tukapigwa. Angalia game yetu nyingine na City msimu huu Epl, Tomiyasu kapanic, wachezaji wanapoteza concentration, game tumepoteza.
Angalia Ueropa dhidi ya sporting cp. Ile first game tu inakuonyesha Ile ni timu ya namna gani, second match Arteta anafanya makosa yaleyale (rotation za kiduanzi, mechi za pressure kubwa), matokeo yake tumetolewa.
Na huu ubingwa tunaukosa Kwa makosa yaleyale ya miaka (kupaniki na kupoteza concentration)
Yani kama Man U wanakimbizwa na huyo boya basi Man U timu hamnaMkuu Taiwo Awoniyi anajitahidi
Tatizo hujajua kama hii kitu huwa ipo organized hata kabla ya mechi. Mpigaji anakuwa tayari amepangwa kwamba atapiga flani endapo zitatokea penalty. Kwani hata mechi zingine nan huwa anapiga? Ni huyohuyo ila Leo bahati tu haikuwa kwakeAliesababisha penalty alikua Nani?
Bukayo Saka ndio kaiuza Arsenal leo sijui ameingia anawaza niniTatizo hujajua kama hii kitu huwa ipo organized hata kabla ya mechi. Mpigaji anakuwa tayari amepangwa kwamba atapiga flani endapo zitatokea penalty. Kwani hata mechi zingine nan huwa anapiga? Ni huyohuyo ila Leo bahati tu haikuwa kwake
Ubingwa ni mbio ndefu,, ilikuwa ni lazima mzurure tuAngalia game yetu ya msimu uliopita dhidi ya Totenham (ya kuamua kwenda UEFA). Holding limeingia limepanick, tukafa.
Angalia game yetu dhidi ya City ya FA. Arteta anaweka rotation ya kisenge, tukapigwa. Angalia game yetu nyingine na City msimu huu Epl, Tomiyasu kapanic, wachezaji wanapoteza concentration, game tumepoteza.
Angalia Ueropa dhidi ya sporting cp. Ile first game tu inakuonyesha Ile ni timu ya namna gani, second match Arteta anafanya makosa yaleyale (rotation za kiduanzi, mechi za pressure kubwa), matokeo yake tumetolewa.
Na huu ubingwa tunaukosa Kwa makosa yaleyale ya miaka (kupaniki na kupoteza concentration)
Ubingwa ni mbio ndefu,, ilikuwa ni lazima madogo mzurure tuAngalia game yetu ya msimu uliopita dhidi ya Totenham (ya kuamua kwenda UEFA). Holding limeingia limepanick, tukafa.
Angalia game yetu dhidi ya City ya FA. Arteta anaweka rotation ya kisenge, tukapigwa. Angalia game yetu nyingine na City msimu huu Epl, Tomiyasu kapanic, wachezaji wanapoteza concentration, game tumepoteza.
Angalia Ueropa dhidi ya sporting cp. Ile first game tu inakuonyesha Ile ni timu ya namna gani, second match Arteta anafanya makosa yaleyale (rotation za kiduanzi, mechi za pressure kubwa), matokeo yake tumetolewa.
Na huu ubingwa tunaukosa Kwa makosa yaleyale ya miaka (kupaniki na kupoteza concentration)
In case of penalty sidhani kama anapaswa kulaumiwa. He's a human being, not every time he'll be perfect.. remember the moments when he did better and you enjoyed his efforts... Why today? Inatokeaga tu mkuu. Cha kulaumu ni form nzima na concentoya arsenal kwa ujumla kushindwa kulinda kile walichonacho, basiBukayo Saka ndio kaiuza Arsenal leo sijui ameingia anawaza nini
Nyie mliona wapi kunguru akanyea manati?Daah ndio bas tena, kumbuka City ana game moja mkononi na tuna mechi naye.
Arsenal morali ishashuka
City morali Iko juu sana .
SawasawaAndikeni maumiv huko mlipo umbwa nyie kmmk
Aseno kijoraTutakachomfanya West Ham United Kwenye Hii Mechi Ya Leo,Nina Hakika Kitabaki Kweny Vitabu Vya Matukio Ya Kikatili Zaidi Kuwahi Kutokea Kwenye Soka..!
#COYG![]()

Westham watakufa magoli sio chini ya manne wakiwa nyumbani kwao