Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama kulinda magoli hata kwa west ham tu unashindwa, utaweza kupambana uefa knockout stage yenye two legs?

Trophyless minded arsenyanic team.
 
Pale etihad point mtakuja kuzitapika zote.

Unataka uchukue epl kwa beki magalhaes?
 
Narudia tena msemo wangu wa march, April ina games very tricky. Nikasema kutoboa April sio mchezo, wanazi wakapinga...well, tunaumia sote!
Walikuambia wao wanashinda mechi zote
Eti mechi ngumu ni Mama Cita tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe nyie pale etihad tunaweza tukawatanguliza hata goli 5 first half na bado tukawalamba vizuri tu hata 7.
Hamna timu hapa.
 
Daaah. Tukijikwaa kidogo humu hatupumziki. Ni kusagiwa kunguni mwanzo mwisho na kina Allypipi na kina flano. Acha nasi tusubiri na wao wapigwe tukeshe kwao [emoji1][emoji1]
Mna mdomo sana ni heli man city habebe tu kombe mara 3 mfululizo kelele hawana sio nyie mna mdomo sana kuleni chuma icho[emoji16][emoji16]
 
Leo na furaha kweli[emoji847][emoji847]Yani.

Arsenal katoa sare

Yanga kala chuma cha Moto

Manchester United kashinda

Full raha[emoji847][emoji847] Mungu anipe nini mie.

Na lala kwa raha msaterehe mwenyewe.
[emoji847][emoji847][emoji847]
20230318_211711.jpg
 
Kuna muda ukifika ,arteta hana msaada Tena ,ila maturity ya wachezaji ndio inaamua ....

Game kama hizi za pressure kuziamua kama huna experienced player ambao wako mature ,hata kocha atumie malaika kutoa maelezo ,.....
Nakumbuka MANCHESTER United waliwai kuwarudisha Ryan Gigs na Paul Scholz kama wakongwe baada ya kuwa wamestafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom