Amka mkuu[emoji81][emoji81][emoji81]man u wata beba kwanza ndoo kabla yenu
Antonio alimuhitaji tomiyasuPoor movement ya striker imetunyima goli
Niliwaambia siku nyingi saka sio mchezaji wa kutegemewa, mvivu anajificha tu pembeni kwenye kibendera. Masikini ameisha akiwa mdogo sana.Saka kivuli cha kukosa penat kinamtafuna