ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,554
- 7,993
Sisi hatujali ilimradi anacheza kombe la ulaya.Huyo kipara wako anacheza UCL.?
Sisi hatujali ilimradi anacheza kombe la ulaya.Huyo kipara wako anacheza UCL.?
[emoji23][emoji23][emoji23] Asenyau wazee wa taito kunitenda.Kuna Asenyani yeyote anawaza Ubingwa humu???[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
***** hawa the gunners mtakufa mapema asee1: Man City
2: AssAnal
3: Man U
4: Newcastle
Hakupaswa kumaliza gemukatoka nje ya mchezo kabisa ila leo mwanzo mwisho game imemkataa .
Ngoma ya watoto haikeshi. HahahahBora mimi Chelsea najijua kabisa nna timu ya wacheza rede kuliko nyie AssAnal mnakaza mwanzoni afu mnakuja kuzngua dkk za mwisho
[emoji23][emoji38]Hakupaswa kumaliza gemu
Arteta kwenye subs bado, naona presha imekua kubwa kuanzia kocha hadi wachezaji
Game ya city tutacheza kwa pressure sana na ndio mwanzo wa kutobolewaHakupaswa kumaliza gemu
Arteta kwenye subs bado, naona presha imekua kubwa kuanzia kocha hadi wachezaji
Hata Mimi sikutaka City wachukuey'all needed this humble maana u became so cocky. Binafsi nilitamani City asichukue ubingwa ila mashabiki wa Arsenal mnakera sana kwa makelele so take that L.
Bitch, be humble (hol' up, bitch)
Sit down (hol' up, lil', hol' up, lil' bitch)
Be humble (hol' up, bitch)
Sit down (hol' up, sit down, lil', sit down, lil' bitch)
Be humble (hol' up, hol' up)
Bitch, sit down (hol' up, hol' up, lil' bitch)
Be humble (lil' bitch, hol' up, bitch)
Sit down (hol' up, hol' up, hol' up, hol' up)