Mwamaleki
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 743
- 2,986
Endelea kutukana kakaMwamaleki a.k.a upinde View attachment 2583865
Endelea kutukana kakaMwamaleki a.k.a upinde View attachment 2583865
Usiogope mkuu hapo hamis anakwambia city hatakufa goal nyingi tu msiwe na wasiwasi.Ila Arsenal daah still bado hata kocha yetu ana lack maturity, kuna haja ya kula pindi kwa Fergie na Morinho ambao jinsi ya kucheza mechi za mwisho ambazo zina amua ubingwa.
Wachezaji nao inabidi wakue kidogo wajue tupo kwenye mbio za kugombea ubingwa, mechi ya pili tunaongoza mbili zote zinachomolewa.
Hivi Etihad hapo sijui itakuwaje daah.
Hili ndilo lilikua lengo? Msifikiwe na chelsea na liverpoolKwa sasa hivi timu mbili ambazo haziwezi kutufikia officially ni Liver na Chelsea.
Haina msisimko tho coz siyo mara ya kwanza. Ni vile imekua muda mkubwa tangu itokee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zinchenko si alikuwa man city [emoji23] he knows why he cried [emoji23][emoji23]he is not stupid.
Hakuna mchezaji hapo, nimemwona kitambo tuExciting player ni Taiwo Awoniyi. Look at him
Hii ndio inaitwa Ukiwa na lengo la kupata kuku ukakwama inabidi ujifariji ushuke hadi kwenye nyanya chunguHili ndilo lilikua lengo? Msifikiwe na chelsea na liverpool
Wangemuamini nani?Arsenal wameamgushwa kwa kumuamini Bukayo Saka mkosa penalty,
Yupo vizuri ni timu inamuangushaHakuna mchezaji hapo, nimemwona kitambo tu
Labda city hunterUsiogope mkuu hapo hamis anakwambia city hatakufa goal nyingi tu msiwe na wasiwasi.
Mkuu Taiwo Awoniyi anajitahidiHakuna mchezaji hapo, nimemwona kitambo tu
Daah mechi zao tatu za mwisho nimeziona City hawana masihala hata kidogo,kama jana ndani yadk 25 washamaliza mchezo.Usiogope mkuu hapo hamis anakwambia city hatakufa goal nyingi tu msiwe na wasiwasi.
Aliesababisha penalty alikua Nani?Wangemuamini nani?
Angalia game yetu ya msimu uliopita dhidi ya Totenham (ya kuamua kwenda UEFA). Holding limeingia limepanick, tukafa.
Angalia game yetu dhidi ya City ya FA. Arteta anaweka rotation ya kisenge, tukapigwa. Angalia game yetu nyingine na City msimu huu Epl, Tomiyasu kapanic, wachezaji wanapoteza concentration, game tumepoteza.
Angalia Ueropa dhidi ya sporting cp. Ile first game tu inakuonyesha Ile ni timu ya namna gani, second match Arteta anafanya makosa yaleyale (rotation za kiduanzi, mechi za pressure kubwa), matokeo yake tumetolewa.
Na huu ubingwa tunaukosa Kwa makosa yaleyale ya miaka (kupaniki na kupoteza concentration)