HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,593
- 6,932
tumeumia kinoma bro
Nyie
mulikuwa munatowa ngapi vile 🤣🤣🤣🤣
Mumeumia sana kumkosa huyu dogo
Nyie
mulikuwa munatowa ngapi vile 🤣🤣🤣🤣
Mumeumia sana kumkosa huyu dogo
| #Arsenal’s sporting director Edu Gaspar has made contact with Raphinha’s agent Deco over a possible January move after Chelsea successfully hijacked their bid for Mykhaylo Mudryk,
Hazard huo Ni uzushi, Arsenal haisajili wazee , mwisho miaka 25Yale mazungumzo ya kumsajili Hazard yaliishia wapi. Raphina naye mmeanza mazungumzo
Ngoja tusubiri tuone , ila msije jikuta championshipSubiri tukamilishe kazi ya kusuka kikosi chetu ..nyie wa kutegemea kikosi kimoja itabidi mutupishe![]()
Tukubali tu kwamba bado timu enu ni takataka haina mvuto bado kikosi kenu hakijaaminika na wachezaji wengi waliosajiliwa na arteta walikosa option kwenye timu zao mufano zichenko, jesuse hawa walikuwa benchi woma pale city b..!ivyo mtu kazi kaa Mudrikly ni regulara starter timu oote ile duniani. Poleni sana jengeni mvuto kwanza kwa wachezajiNdio Ubingwa wenu msimu huu
Wachezaji wengi wapo sokon ,sema wengine hatuwajuihivi hakuna kijana aina ya eden hazard wa chelsea sokoni kwa sasa? naona type hiyo ndiyo inafaa kucheza nafasi za saka na martinelli akipumzika mmoja wapo na ku link na ode na vieira
nadhani tunapaswa kumpata mtu kama hazard wa kipindi kile. siyo huyu wa sasa. siipendi chelsea ila nilikuwa naanalia game zenu kwa sababu ya hazard tu. full entertainment jamaa alikuwa anajua aiseeYale mazungumzo ya kumsajili Hazard yaliishia wapi. Raphina naye mmeanza mazungumzo
Ni kweli bro maana dogo angekuwa backup muhimu sana kwa Saka tena kwenye project ya arteta ambayo imafanikiwa msimu huutumeumia kinoma bro
hao poa. tetesi za kuwa trossard kagombana na kocha wake ni za kweli? hapo si changamoto maana sisi hatupendi watovu wa nidhamu? arsenal wanachagua wachezaji kama mwanaume anayetafuta mke aiseeWachezaji wengi wapo sokon ,sema wengine hatuwajui
I think tutaenda kwa Raphina au Trossard
HUYU MTU ANA AKILI SANA, TUMJENGEE WAPI MNARA?Msimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
Nyie maboya huondio msimamo wa ligi msimu huu, napia si hivyo tu Hadi carabao,FA na Europe huyo mwamba hapo juu namba 1 bado anashiriki, hivyo mtajua hamjui msimu huu mechi 8 mfululizo unbeaten and still more suplise to come for the red devil's
![]()
Kwetu Chelsea kwani kuna shida mbona hata james tumempa mkataba wa miaka 7Hivi umewahi ona wapi mchezaji anagewa mkataba wa miaka 7?
MMEANZA KUMUOGOPA KANE NA SON, MTAMUWEZA RASHFORD NA GARNACHO KWELI?Arsenal iwe makini sana na Counter attack kesho vs Kane na Son tusipokuwa makini wataharibu sherehe Saliba na Gabriel ni wazito sana kwenye counter attack
Yah hata Jana hakucheza ,anataka kuondokahao poa. tetesi za kuwa trossard kagombana na kocha wake ni za kweli? hapo si changamoto maana sisi hatupendi watou wa nidhamu? arsenal wanachagua wachezaji kama mwanaume anayetafuta mke aisee
Tuombe pia alzipilicueta aumie tusajili mchezaji kwenye nafasi yakeRed Card ya Felix imechangia sana Chelsea ku-hijack dili la Mudryk kama ambavyo majeruhi ya Pulisic imechangia sana Chelsea ku-hijack dili la Felix
raphinha imekuwaje tena?Yah hata Jana hakucheza ,anataka kuondoka
Ila naona Tumerudi kwa Raphina
Barca Kama hawamuelewi Hiviraphinha imekuwaje tena?