Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siwezi kusema ataflop au kumwombea hivyo. Kumbuka pale darajani Kuna bonge la project linajengwa. Atakuwa na kina Nkunku na wengine kama 50 hivi so atakuwa katika kikosi kizuri ambacho kikikaa sawa uwanjani kitasumbua sana. Kwa sasa wako katika transition period hivyo hatuwezi kuwajudge Kwa performance za hivi karibuni. Wapate muda wa tulie wajijenge wataonesha uwezo wao.
Daaahh HENRY14 nimejitahidi sana kufatilia comments zako na nimejihakikishia bila ya shaka yoyote kua wewe ni mpenzi halisi wa mpira na wala sio shabiki wa mpira kama kina sisi.
Comnents zako nyingi hua unakua muwazi sana pasi na kuingiza unazi na ushabiki wa timu unayoishangilia.
Hongera sana mkuu HENRY14 akina sisi hua tunajitahidi kua kama wewe lakini mara nyingi mahaba ya timu tunazozishabikia hua yanatutoa kwenye reli.
 
Hua nashangaa timu kama Napoli au Dortmund wanaingia chimbo wanakuletea mtu wa 16M na anawasha moto mpaka chelsea et el watakuja kutoa 100M

Kwamba Arsenal scouting yetu haina connection sana au?
Add Brighton hapo kwq siku za hivi karibuni.

Angalia wale wakina Mitoma ,Caicedo hata 10 haifiki ila sasa hivi ukimtaka hata mmoja sio chini ya 60M
 
Last year hatukusajili forward tukapiga kelele top 4 ikasepa kama utani and now on naona yale yale yanajirudia tena 11 squad ya kutisha but benchi hoi bin taabani anyway let's wait and see
Dah mara 10 tungemchukua Felix kwa mkopo kuliko kukosa vyote inaweza kutucost sio tu ubingwa especially Akiumia Saka ama Martinelli.
 
Last year hatukusajili forward tukapiga kelele top 4 ikasepa kama utani and now on naona yale yale yanajirudia tena 11 squad ya kutisha but benchi hoi bin taabani anyway let's wait and see
Kabisa aisee, tuna delay sana kwenye deal moja, alf ndo kama hiki kilichotokea mpaka sasa tungekua tumekamilisha sajili mbili fasta kuongeza nguvu kikosini, au hadi tufungwe ndo watakumbushwa,..
Alf ukisema watu watakuja kudai usajili ni mchakato, mbona timu zingine siku tatu ama nne deal done. Sie wiki 3
 
Dah mara 10 tungemchukua Felix kwa mkopo kuliko kukosa vyote inaweza kutucost sio tu ubingwa especially Akiumia Saka ama Martinelli.
Ngoja tuone labda kuna best option zingine zipo, nahis saiv Edu na wenzake watakua wameamka kuhusu kuchelewesha deal, kama timu haieleweki kukuuzia mchezaj achana nao basi
 
Back
Top Bottom