Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Sasa chelsea wamehamia kwa Antonio wa Westham utd watasajili dunia hawa![]()


Sasa chelsea wamehamia kwa Antonio wa Westham utd watasajili dunia hawa![]()


Ni kweli mkuu,,,dogo anaubonda haswa,,,wachA tuone EPL itamfaa ?Chelsea wametufanyia uhuni mkubwa, ila Shakhtar ndio waliweka ugumu mkubwa Sana ,
Nobody's knows tomorrow but Mudrky hiki ni kipaji , ....labda yakamkute yaliyomkuta Felix ATM au yanayomkuta Ziyech na Kai pale Chelsea
Si umesema ninyi hamchukui mchezaji above 25?Wachezaji wengi wapo sokon ,sema wengine hatuwajui
I think tutaenda kwa Raphina au Trossard
Mudryk hachezi upande wa Saka, anacheza kushoto zaidi. Kule kwa Saka anaenda kama wide player tu ila natural position yake ni leftNi kweli bro maana dogo angekuwa backup muhimu sana kwa Saka tena kwenye project ya arteta ambayo imafanikiwa msimu huu
Trossard ana kiburi, tangu arudi WC haelewani na kocha kapigwa adhabu bado sasa amemwambie agent wake anataka kutoka Brighton mwezi huu wa januaryhao poa. tetesi za kuwa trossard kagombana na kocha wake ni za kweli? hapo si changamoto maana sisi hatupendi watovu wa nidhamu? arsenal wanachagua wachezaji kama mwanaume anayetafuta mke aisee
Raphina 26, Trossard 28. Hapo vipi?Hazard huo Ni uzushi, Arsenal haisajili wazee , mwisho miaka 25
Hawa dawa yao ni kuwanyuka bakora nne wakija Emirates kupunguza hasiraNina hasira sana, uhuni mliotofutanyia haukubaliki
Mkuu inatosha kusema ni bonge moja la player
Added to ignore list, ni dharau sana kwa mtu asiye na akili timamu kukuquote na kuandika pumba kama hizi.Huyu saka hajafika hata thamani ya Pepe yule mlipgwa na lile![]()
Mlikuwa na over confidence kwa vile mchezaji aliwalike sana kwenye social mediaChelsea wametufanyia uhuni mkubwa, ila Shakhtar ndio waliweka ugumu mkubwa Sana ,
Nobody's knows tomorrow but Mudrky hiki ni kipaji , ....labda yakamkute yaliyomkuta Felix ATM au yanayomkuta Ziyech na Kai pale Chelsea
Hao Ni wazuri kwa short term ,na kwa dirisha la January wanafaa ,sidhan Kama 26 Raphina hafai kwa projectSi umesema ninyi hamchukui mchezaji above 25?
- Raphina 26
- Trossard 28
Mwisho Ni maamuzi ya mchezaji ,Alisema Arteta wiki iliyopitaMlikuwa na over confidence kwa vile mchezaji aliwalike sana kwenye social media
Mlijiamini sana kwa kudhania case ya Mudryk ni kama ya Raphina
Mliwadharau sana Shaktar mkadhani watakubali tu, hata walipokuja London mlijua wanaigiza, jifunzeni kutokana na hili dili la Mykhailo. Next time wanaume kama Chelsea wakiingia dukani kuulizia bei ya bidhaa msiwe na madharau
sidhani kama huyo atamfaa artetaTrossard ana kiburi, tangu arudi WC haelewani na kocha kapigwa adhabu bado sasa amemwambie agent wake anataka kutoka Brighton mwezi huu wa january
Nasikia Chelsea tumeanza mazungumzo na Barcelona kumsajili Raphina ambaye ni Taregt wa ArsenalSasa chelsea wamehamia kwa Antonio wa Westham utd watasajili dunia hawa![]()
Chelsea wachezaji tayari wameshajaa labda muuze,Nasikia Chelsea tumeanza mazungumzo na Barcelona kumsajili Raphina ambaye ni Taregt wa Arsenal
ILianza Felix
Ikaja kwa Mudryk
NA sasa tunamtaka Raphina
Ninyi mnafanya scout sisi tunabeba tu
Bahati mbaya Mudryk, Felix, Madieke na Thuram watakuwepo kule mbeleHawa dawa yao ni kuwanyuka bakora nne wakija Emirates kupunguza hasira
Alikuwa analazimisha kusepa , Sijui itakuwajesidhani kama huyo atamfaa arteta
Na ndio maan hizi news zilikuja kama za kushtukizaMwisho Ni maamuzi ya mchezaji ,Alisema Arteta wiki iliyopita
Mbona dili la Jesus mliingia mkafeli,kwa Raphina ,kounde wakaenda Barca regards mliwaofa big salaries
Usajili una drama zake na ndio hizi,
Shakhtar Ni dhahiri walifanya Siri ,ndio maana walitukazia, toka Jana asubuhi wanatu joke kwenye page Yao ,
Sio Fabrizio, sio David Ornstein au Matt D law walijua kinachoendelea Hadi jion.
Kile kikao alichoenda London ,kilimaliza kila Kitu, ndio maana Shakhtar wakawa hawatusikilizi,Na ndio maan hizi news zilikuja kama za kushtukiza
Ila niwatahadharishe, Raphina hakuna mchezaji paleHao Ni wazuri kwa short term ,na kwa dirisha la January wanafaa ,sidhan Kama 26 Raphina hafai kwa project
Japo Hadi Sasa kuanzia project hii mpya ,hatujasajili mchezaji above 25 , hata tulipomtaka Raphina alikuwa 25
Trossard Ni option nzuri sokoni