toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,428
- 2,813
Wakumbushe mkuu
Wakumbushe mkuu
Weka msimamo wa ligi tafadhaliRashfooooooooooordView attachment 2480980
Malizana na timu ya weusi kwanzaNAJUA MMEFURAHI..LAKINI MJUE NEXT MATCH NIKO NA NYIEView attachment 2481001
Nasi tunawakaribisha sana The Emirates, tutawapa game mnayostahili.NAJUA MMEFURAHI..LAKINI MJUE NEXT MATCH NIKO NA NYIEView attachment 2481001
Come on kijana,moja ya makosa makubwa ambayo hamna jinsi ya kuyasahihisha ni kutangulia kucheza na city huku arsenal tunawaangalia.NAJUA MMEFURAHI..LAKINI MJUE NEXT MATCH NIKO NA NYIEView attachment 2481001
Hata Man U msimu, tumepigwa faini mara mbili ndugu, sio nyie tuu
Hakika mkuu🤝Arsenal iwe makini sana na Counter attack kesho vs Kane na Son tusipokuwa makini wataharibu sherehe Saliba na Gabriel ni wazito sana kwenye counter attack
Mmeanza kuleta ujuaji kama waliokuwa nao LIVERKUKU msimu wa COVID 19 wakihisi wana timu ya maana sana.Come on kijana,moja ya makosa makubwa ambayo hamna jinsi ya kuyasahihisha ni kutangulia kucheza na city huku arsenal tunawaangalia.
Kwanini?
Kimsingi aproach mliyokuja nayo leo haitokuwa na tofauti na mtakayokuja nayo dhidi ya mechi yetu.hapo ndipo shida inapoanzia,techinically kuna maeneo wachezaji wenu wamebadilika ila tactically hapo ndipo mechi itakapochezewa.
Na kweli, muhimu tuwakande hao Spuds tunapumua na baridi juu.