Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu mimi binafsi nakuhakikishia kwa kikosi chenu hiki bila kuongeza wachezaji wa maana kwenye dirisha hili la usajili hio top 4 hamtoboi.
Kikosi chetu sisi kidogo sana nakubaliana nawewe maana hata ile mechi ya Newcastle nje tulikua na Elneny,Tieney,Tomiyasu,Holding,Vieira,Lokonga... yani kwa kuangalia hamna wakubadilisha matokeo! Ila kwa upande wa pili mpira nao una mambo yake maana aliumia Partey hadi anarudi mmetufunga nyie tuu tena kwa mbinu mbinu tuu na mlituheshimu hamkutaka kushindana nasisi ila sasa wakati tupo full kikosi tumeshindwa kumfunga SOTON ambayo inaburuza mkia, umeona mpira jinsi ulivyo? na ndio sababu tunaupenda sana mpira wa miguu maana kuna mda haukupi unachofikiria,kwaio kumbe Lokonga huyu huyu alijitahidi kwenye baadhi ya mechi pia Arsenal msimu huu uzuri wetu tumechukua points sana kwenye hizi average timu kitu ambacho timu kubwa kimewashinda,

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20230115_010452.jpg
 
Chelsea have agreed a deal worth £88.5m with Shakhtar Donetsk for winger Mykhailo Mudryk.

Chelsea's co-owner Behdad Eghbali and director of global transfers Paul Winstanley flew into Antalya in Turkey - where Shakhtar are training - on Saturday to complete the deal before taking Mudryk back to the UK with them on their private jet.

Mudryk will undergo his medical in London on Sunday and is expected to be at Stamford Bridge to watch Chelsea play Crystal Palace.
 
Acha kudanganya wewe, waache kuisajili washuke daraja
Nyie Arsenal mmetotoa vifaranga na sasa wamekuwa wakubwa. Sio kila timu inatotoa vifaranga
Wengine tunanunua kuku walubwa
Hao kuku wakubwa ndiyo wamekufikishs hapo kama sikosei
 
Labda Chelsea wanatafuta first 11, wameona reasonable kutoa 100m

Ila backup ya saka/martinel hauweze kutoa huo mzigo, labda 60-70m

Saka, saliba, martinel hawa pia inabidi wajeku-renew mikataba
Lazima ucheze vizuri na wage structure
Mshahara utakao mlipa mudryk ambae anaikuta arsenal iliyopambaniwa na hao wapambanaji
Hao wapambanaji lazima na wao wata-demand pesa kubwa sana. Na watakua sahihi

Kuna unafuu sana kumkosa mudryk kuliko kumpata

NB
Mudryk ni bonge moja la player
 
Labda Chelsea wanatafuta first 11, wameona reasonable kutoa 100m

Ila backup ya saka/martinel hauweze kutoa huo mzigo, labda 60-70m

Saka, saliba, martinel hawa pia inabidi wajeku-renew mikataba
Lazima ucheze vizuri na wage structure
Mshahara utakao mlipa mudryk ambae anaikuta arsenal iliyopambaniwa na hao wapambanaji
Hao wapambanaji lazima na wao wata-demand pesa kubwa sana. Na watakua sahihi

Kuna unafuu sana kumkosa mudryk kuliko kumpata

NB
Mudryk ni bonge moja la player
Kuna wachezaji wengine sokoni , Tuwe watulivu ,Arteta na Edu wanajua Cha kufanya

Hatupo hapo kwa bahati mbaya ,Kuna plan
 
Ni kweli mkuu

Na sasa hivi tunatafuta backup ambapo hizo options bado zipo nyingi tu
Kumbuka tulipomkosa Martinez ,tulimpata Zinchenko

Kwa hili siwalaumu bodi ,Tulifika Hadi €95m ,Lakini inaonekana Shakhtar hawakutaka kutupa mchezaji ,wakafanya mazungumzo ya Siri na Chelsea

Ndio maana toka jana Wakaanza kutu joke
 
Hili deal la Mudryk kwenda kwa Chelsea likimalizika litanifanya nianze kuiona thamani halisi ya Saka. Huyu dogo thamani yake sio chini ya £250mil at current market price. Hakuna namna inabidi tukomae asign da ting on table ASAP coz ndani ya miaka 2 mbele nauona mpunga mzuri tunaopiga kwake.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Chelsea Ni kama hawana skauti , walifanya hivo kwa Dili la Jesus ,wakashindwa ,wao wanaamini mchezaji anayeonekana mzuri Basi atapaform kwao

New insight into the Gabriel Jesus transfer. His agent, Marcelo Pettinati, tells me:

“Chelsea were one of the teams that tried to hijack the Arsenal move. They tried very hard in the final days to get him. By that point, we’d already chosen our new project.”

#AFC
 
Kama gooneer kweli nitasema pongezi kwa Chelsea.Wamepata mchezaji mzuri,

Pia bahati nzuri kwa Mudryk.

Edu kwa kweli alijitahidi na nampongeza kwa juhudi. Ofa ya mwisho ilikuwa €95m, Sijawahi kuona Arsenal tukipambana kumpata mchezaji namna hii, ofa 3 zilienda ,

Ofa ya Chelsea ilikuwa €100m

Chelsea walipokuja kutu win Ni kwenye mshahara wa mchezaji , Sio Kwamba Arsenal asingeweza kuongeza €5m amech ofa ya Chelsea .

Issue Ni mshahara , Arsenal walimuofa £40k per week miaka 5, Chelsea wamekuja nasikia kumpa £200k per week miaka 8.

Hapa ndipo ugumu ulipoanzia ,ilihitaji moyo Kama wa Gabriel Jesus au Raphina ambao hawakuangalia pesa lilipokuja Swala Kama hili pale Chelsea alipoingilia hizi dili.

Ngumu kwa mchezaji usiye proven kuja moja kwa moja Arsenal upate £200k per week ,


Kesi ya Mudryk ni sawa na ile ya Lisandro Martinez na Raphinha.
Tuliwapoteza lakini bado tuliendelea mbele .

Ikiwa ningekuwa Edu na timu ya kusajili, ningejitoa kwa muda mrefu na kuhama siku ambayo Sporting director wa Shakhtar alikwenda Chelsea kutazama kushindwa kwao na Man city.


Walakini, Edu na Arsenal waliendelea kwa sababu tu kijana huyo alionesha moyo wake wa kuwa mchezaji wa Arsenal.

Kuna njia mbadala na chaguzi zingine za kufanya.,.
 
Labda Chelsea wanatafuta first 11, wameona reasonable kutoa 100m

Ila backup ya saka/martinel hauweze kutoa huo mzigo, labda 60-70m

Saka, saliba, martinel hawa pia inabidi wajeku-renew mikataba
Lazima ucheze vizuri na wage structure
Mshahara utakao mlipa mudryk ambae anaikuta arsenal iliyopambaniwa na hao wapambanaji
Hao wapambanaji lazima na wao wata-demand pesa kubwa sana. Na watakua sahihi

Kuna unafuu sana kumkosa mudryk kuliko kumpata

NB
Mudryk ni bonge moja la player
inasemekana katika personal terms, angeanza na mshahara wa 60k p/w hivi halafu ataanza kuongezewa mwaka kesho kulingana na performance. alikuwa amekubali maana kwao anapata kama 13k p/w. hivyo mshahara haukuwa tatizo. transfer fee ya timu yake ndiyo ilikuwa shida kuu.
 
Kwa Chelsea huyu siyo mchezaji wa kwanza kumtolea kibunda ni utamaduni wao.

Mfano wa mwisho kabisa ni Lukaku. 100M kisha anakuambia hatamani kua Chelsea akarudi Inter.

City ilikua inamtaka Cucurella, Chelsea stepped in wakaover offer City ikakaa kushoto. City is second.

Mudryk sijawahi muona akicheza lakini nimepita sehemu nikakuta wanamfananisha na Kvicha (Chelsea inamtaka Kvicha pia) wakaconclude Mudryk ni mzuri kwenye transitional football kuliko possession football. So Mudryk anaifaa ligi ya EPL kuliko Kvicha.

So in theory Chelsea imepata mchezaji mzuri, but in practice tuna Auba, Lukaku, Sterling, Havertz, Ziyech, ambao ilitakiwa wawe wazuri pia.

Kwenye pages za Chelsea wakishamaliza kuandika Arsenal in the mud wanaandika kwamba wao wanahitaji mid kuliko forwards coz forwards wapo wengi tu.

Ofa ya Arsenal ilikua 95M, klabu isingeshindwa kumuachia mchezaji considering ndipo alikua anataka kwenda kisa pungufu ya 5M. Fabrizio anasema kwamba Rais wa Shakhtar alimuambia dogo kwamba usipoenda Chelsea hatukuuzi kwingine kokote.

Ila swali langu kwenu. Unagewa mkataba wa miaka 5 na mshahara wa 127K kwa wiki na unagewa mkataba wa miaka 7 mshahara wa 200K kwa wiki wewe ungeenda wapi?
 
Back
Top Bottom