Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
Nyie maboya huo👆 ndio msimamo wa ligi msimu huu, napia si hivyo tu Hadi carabao,FA na Europe huyo mwamba hapo juu namba 1 bado anashiriki, hivyo mtajua hamjui msimu huu mechi 8 mfululizo unbeaten and still more suplise to come for the red devil's👍
So nyi ni mechi 8 unbeaten?

Arsenal ni ngapi?
 
Labda Chelsea wanatafuta first 11, wameona reasonable kutoa 100m

Ila backup ya saka/martinel hauweze kutoa huo mzigo, labda 60-70m

Saka, saliba, martinel hawa pia inabidi wajeku-renew mikataba
Lazima ucheze vizuri na wage structure
Mshahara utakao mlipa mudryk ambae anaikuta arsenal iliyopambaniwa na hao wapambanaji
Hao wapambanaji lazima na wao wata-demand pesa kubwa sana. Na watakua sahihi

Kuna unafuu sana kumkosa mudryk kuliko kumpata

NB
Mudryk ni bonge moja la player
mkorea ubora wa Mudryk upoje,? Mimi simfahamu anacheza nafasi gani maana kuna wengine wanasema anacheza winger na wengine wanasema ni kiungo mshambuliaji which in which au anacheza nafasi zote mbili je kama ni hivyo ipi ni best kwake?
 
Kwa leo Spurs katuzidi sehemu mbili kwa kipa na ST. With Kane wana experienced ST kuliko sisi na Nketiah na kwangu Lloris is a better keeper than Aaron. Also Kulusevski is a genius, pace, tech na skills vyote anavyo.

Ila we have good defense, in form wings na mid nzuri. So we have a chance hapa. Spurs bado wana style yao moja ya kucheza ya counter, long balls na through balls kama kikosi ni hichi Winks hatokuepo so thru balls zinaweza zisiwe nyingi sana.

White hatatakiwa kupanda sana na kujisahau kwakua hana pace ya kumatch na Son, formation ya Spurs ni vulnerable kwa wings na forwards zenye pace na tunao hao wachezaji.

Recently tukicheza na Spurs kane amegewa penati hapa na pale, Gabriel aache mapepe.

Hata hivyo natamani tusicheze 4 3 3 turudie 4 2 3 1 kwaajili ya hii mechi. Timu yenye njaa ndiyo itanyanyuka na points tatu leo
kwa historia yetu na wao kwao, sina matumaini ya ushindi kivile. pia naamini kuna juhudi za FA kuturudisha nyuma hivyo najua watatutafutia namna tufunwe leo.
 
Kwa leo Spurs katuzidi sehemu mbili kwa kipa na ST. With Kane wana experienced ST kuliko sisi na Nketiah na kwangu Lloris is a better keeper than Aaron. Also Kulusevski is a genius, pace, tech na skills vyote anavyo.

Ila we have good defense, in form wings na mid nzuri. So we have a chance hapa. Spurs bado wana style yao moja ya kucheza ya counter, long balls na through balls kama kikosi ni hichi Winks hatokuepo so thru balls zinaweza zisiwe nyingi sana.

White hatatakiwa kupanda sana na kujisahau kwakua hana pace ya kumatch na Son, formation ya Spurs ni vulnerable kwa wings na forwards zenye pace na tunao hao wachezaji.

Recently tukicheza na Spurs kane amegewa penati hapa na pale, Gabriel aache mapepe.

Hata hivyo natamani tusicheze 4 3 3 turudie 4 2 3 1 kwaajili ya hii mechi. Timu yenye njaa ndiyo itanyanyuka na points tatu leo
Lloris Ni old fashioned GK, hata Spurs Wana mpango wakumuacha mwisho wa msimu,

Binafsi sijawahi kumkubali toka Wenger anamtaka kipind kile

Kwa timu inayotumia 3-4-3 ,dawa Yao Ni 4-3-3

SABABU kwenye kushambulia /au tukiwa na mpira tunapenda Sana kutumia 3-2-5/2-3-5

Wale wingbacks zao Perisic na Dohety wanakuwa pinned na Martinell na saka ambao huwa wanatanua uwanja ,hivo hawawez kuwaacha free

Hapo Kati wanabaki Viungo wawili Bentacur na Holjberg

Sasa Inakuwa 2 MF wa Spurs Vs 3 MD wa Arsenal ambao Ni Partey Xhaka na Zinny Jumlisha na Kipa Aaron ambaye anahusishwa kwenye kuanzisha mashambulizi ,kunakuwa na Overload Kama ya 4 vs 2

Kuna Kane huwa anapenda kushuka kusaidia Kiungo ,huyu waku mchunga Sana ,

Kwenye quick transition Xhaka na ode wanaondoka kushambulia half space

Kitu Cha Kwanza kabisa tuwapore eneo la MIDFIELD

Tuwe sharp kuzuia Kaunta ,ndio silaha Yao kubwa.
 
Transfer fee arsenal alifika had package ya €95m pungufu 5 ya Chelsea

Tatizo kwenye mshahara Chelsea ndipo walipomzuzua ,ÂŁ40-60k per week hii alikubaliana na Arsenal

Chelsea wakampa ÂŁ160-200k per week

Ni kina Raphina ,kounde ,Jesus ndio walikataa mishahara mikubwa Chelsea alipo hijack deals

Kwa Arsenal hapo siwalaumu ,Ni ngumu Tena Sana Kama Bado hujawa proven kiasi kikubwa ,uje uanze na ÂŁ160-200k
Kwani huyo player ubora wake ukoje? Na anacheza nafasi gani mbona nimemcheki youtube anacheza zaidi kwenye kiungo mshambuliaji kuliko winger mnavyosema?
 
mkorea ubora wa Mudryk upoje,? Mimi simfahamu anacheza nafasi gani maana kuna wengine wanasema anacheza winger na wengine wanasema ni kiungo mshambuliaji which in which au anacheza nafasi zote mbili je kama ni hivyo ipi ni best kwake?
Nina hasira sana, uhuni mliotofutanyia haukubaliki

Mkuu inatosha kusema ni bonge moja la player
 
Kwani huyo player ubora wake ukoje? Na anacheza nafasi gani mbona nimemcheki youtube anacheza zaidi kwenye kiungo mshambuliaji kuliko winger mnavyosema?
Shakhtar Ni timu ya kaunta Sana ,ndio maana unamuona Kama Kiungo, Mudrky ana Tabia ya kuchukua mpira chini kwenye kiungo,na kwenda nao mbele , nafasi yake Ni Left winger

Anarudi nyuma kusaidia, anachuku mipira kwenda mbele .

Moja ya Sifa tuliyomtaka anarudi nyuma kusaidia , sio Zile winger zinakaa mbele tu

Kasi anayo Sana , Vs Liverpool dhidi ya Anord lazima niangalie ,Kama anavyoteswaga na Martinel au Jana Mitoma
 
Kushinda mnaweza ila siyo uhakika 100%

Mnanikumbusha misimu miwili nyuma ya Arsenal. Tunamiliki mpira, tunasogea mbele ila magoli hatupati kwakua hatukua na AM. Ilikua tukipigwa 1 ndoto za kurudisha zinafutika.

Kwa huyu beki wenu Chalobah sioni kama mna ujanja huo
Fact
 
Poleni Sana Gunners !!!! Chelsea wamewasuprise,,,,

Boss miluzi yeye anasajili tu ! .

Trossad wa Brighton hawezi kuwafaa,,, ? Hazard type player,,,anawezaku-offer vitu vingi !
Ana mgogoro na kocha wake, pelekeni mzigo ,!

Epl Ni ngumu , hamuwezi shinda na kikosi hiki hiki,,,mnahitaji back up za maana, sio kina viera, Sambi na eleneny !!
 
Chelsea wametufanyia uhuni mkubwa, ila Shakhtar ndio waliweka ugumu mkubwa Sana ,

Nobody's knows tomorrow but Mudrky hiki ni kipaji , ....labda yakamkute yaliyomkuta Felix ATM au yanayomkuta Ziyech na Kai pale Chelsea
 
HENRY14 umeongea kama mshabiki wa mpira wafundishe mashabiki wenzako namna ya kuanalyse mpira
@HENRY14 ni miongoni mwa mashabiki wachache sana wa Arsenal wanaojielewa, huyu jamaa hata mkitofautiana mtazamo hua anatumia lugha ya kistaarabu kukujibu na kutetea hoja zake.
Mpaka sasa hivi nina idadi ya Arsenal members kama wanne ambao kabla hata ya kusoma commets zao hua naanza ku like maana nawajua ni mashabiki wanaojielewa.
 
Back
Top Bottom