Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
kupata kichekesho kma hiki bonyeza *104*100#Msimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
kupata kichekesho kma hiki bonyeza *104*100#Msimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
Uliifunga Man U kiungo Matic na McTomminaySasa manyumbu timu ya kutisha?
Sisi Tunataka mbondwe kesho, halafu Tunawangoja Emirates
Xhaka huwa anawataman Sana pale Emirates
Na mlitufunga game ya trafford DM akiwa Lokonga!Uliifunga Man U kiungo Matic na McTomminay
Napoli wako vizuri mkuu jana Juventus walikuwa waoge zakutoshaHii Juve iliyoliliwa na Locatelli na Vlahovic inazidi niacha mdomo wazi
Arsenal iwe makini sana na Counter attack kesho vs Kane na Son tusipokuwa makini wataharibu sherehe Saliba na Gabriel ni wazito sana kwenye counter attackConte amejihami mapema sana
Wanataka kisemaje hawaView attachment 2480614
Kumbe alishaishinda hiyo jinx na ni wasiwasi wa bure tu? basi kuna teams zitapata taabu sana.Mbona juz hapa alichukua ,na Bado akaliendeleza akashinda na ku draw moja , wakampa Eddie Howe, akashinda Tena mechi 4 ndio hii amechukua
️
#AFC
Potter hawez kutimuliwa Wana project nae ndefu ,Chelsea wameshamtimua Kocha wao![]()
chance ya kuwapiga chelsea ni sasa...simba aliyejeruhiwa. ila akipata nguvu na momentum kidogo epl itajuta.Potter hawez kutimuliwa Wana project nae ndefu ,
Edu Gaspar yupo Poland kaka toka Jana ...kule hana ndugu kilichompeleka ni jambo Moja tu...(Majibu soon na jezi yako safiiiiii )New direct contacts will take place in the next hours for Mudryk deal. Arsenal will discuss with Shakhtar about add-ons structure after €70m bid plus €25m️
#AFC
Arsenal want to get it done as soon as possible, player insisting too - personal terms already agreed.
Thanks mkuu, ila hilo halina ubishi hadi hapa tulipofikia



Chelsea kwetu kama muembe wa uwani tu hata kocha awe nani tunajipigiac
chance ya kuwapiga chelsea ni sasa...simba aliyejeruhiwa. ila akipata nguvu na momentum kidogo epl itajuta.
Partey na xhaka tuWatu wanaangalia majina ya timu na matokeo ya Livescore ila sio mpira unaochezwa uwanjani, hii city siioni kama inaweza kuzuia Arsenal kutwaa ubingwa hapo March mwishoni
Anyegere mno