Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili deal la Mudryk kwenda kwa Chelsea likimalizika litanifanya nianze kuiona thamani halisi ya Saka. Huyu dogo thamani yake sio chini ya £250mil at current market price. Hakuna namna inabidi tukomae asign da ting on table ASAP coz ndani ya miaka 2 mbele nauona mpunga mzuri tunaopiga kwake.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
inavyo onekana hatutataka kumuuza na yeye hatataka kuondoka, haswa tukipata mafanikio kiasi.
 
Kwa Chelsea huyu siyo mchezaji wa kwanza kumtolea kibunda ni utamaduni wao.

Mfano wa mwisho kabisa ni Lukaku. 100M kisha anakuambia hatamani kua Chelsea akarudi Inter.

City ilikua inamtaka Cucurella, Chelsea stepped in wakaover offer City ikakaa kushoto. City is second.

Mudryk sijawahi muona akicheza lakini nimepita sehemu nikakuta wanamfananisha na Kvicha (Chelsea inamtaka Kvicha pia) wakaconclude Mudryk ni mzuri kwenye transitional football kuliko possession football. So Mudryk anaifaa ligi ya EPL kuliko Kvicha.

So in theory Chelsea imepata mchezaji mzuri, but in practice tuna Auba, Lukaku, Sterling, Havertz, Ziyech, ambao ilitakiwa wawe wazuri pia.

Kwenye pages za Chelsea wakishamaliza kuandika Arsenal in the mud wanaandika kwamba wao wanahitaji mid kuliko forwards coz forwards wapo wengi tu.

Ofa ya Arsenal ilikua 95M, klabu isingeshindwa kumuachia mchezaji considering ndipo alikua anataka kwenda kisa pungufu ya 5M. Fabrizio anasema kwamba Rais wa Shakhtar alimuambia dogo kwamba usipoenda Chelsea hatukuuzi kwingine kokote.

Ila swali langu kwenu. Unagewa mkataba wa miaka 5 na mshahara wa 127K kwa wiki na unagewa mkataba wa miaka 7 mshahara wa 200K kwa wiki wewe ungeenda wapi?
Acha aende tu mkuu
Options za winger bado zipo nyingi sana sokoni
 
Shakhtar toka kitambo walionesha wanatukazia , Ofa yetu wakawa hawaitolei majibu

Kuna Kitu nimejifunza nilidhani kwa mudrky huu mwiko utavunjika

Mchezaji ambaye anakuwa anaonesha wazi wazi anaitaka Sana Arsenal huwa hasajiliwi unakumbuka ya

Zaha

Bissouma

Tielemans

N.k
 
Hahaha arse8 nawacheka hahaha eti muchezaji kasema anaitaka hii takataka hahaha ivi kuna muchezaji mwenye akili ake timamu aje kucheza kwenye timu yenye wachezaji wa kuunga unga!? Mudriky tayari darajani huko musimu ujao nawaonea huruma sana tambeni huu msimu akikisha munakuwa mabingwa ohoo Spurs piga hizi Mamaz 😂😂😂😂
 
Kumbuka tulipomkosa Martinez ,tulimpata Zinchenko

Kwa hili siwalaumu bodi ,Tulifika Hadi €95m ,Lakini inaonekana Shakhtar hawakutaka kutupa mchezaji ,wakafanya mazungumzo ya Siri na Chelsea

Ndio maana toka jana Wakaanza kutu joke
Hamna hela ninyi tengenezeni kwanza mvuto timu iwashawishi wachezaji kuja
 
Hili deal la Mudryk kwenda kwa Chelsea likimalizika litanifanya nianze kuiona thamani halisi ya Saka. Huyu dogo thamani yake sio chini ya £250mil at current market price. Hakuna namna inabidi tukomae asign da ting on table ASAP coz ndani ya miaka 2 mbele nauona mpunga mzuri tunaopiga kwake.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Huyu saka hajafika hata thamani ya Pepe yule mlipgwa na lile 🤣🤣🤣🤣
 
Huyu Saka hajafanya chochote kombe la Euro, World Cup hajafanya chochote Jana kombe lolote kubwa la maana halafu kuna vijidudu mtu apa vinasema thamani ake itafika hadi pound mil 250 kweli 🤣🤣🤣🤣
 
Acha aende tu mkuu
Options za winger bado zipo nyingi sana sokoni
hivi hakuna kijana aina ya eden hazard wa chelsea sokoni kwa sasa? naona type hiyo ndiyo inafaa kucheza nafasi za saka na martinelli akipumzika mmoja wapo na ku link na ode na vieira
 
Siwezi kusema ataflop au kumwombea hivyo. Kumbuka pale darajani Kuna bonge la project linajengwa. Atakuwa na kina Nkunku na wengine kama 50 hivi so atakuwa katika kikosi kizuri ambacho kikikaa sawa uwanjani kitasumbua sana. Kwa sasa wako katika transition period hivyo hatuwezi kuwajudge Kwa performance za hivi karibuni. Wapate muda wa tulie wajijenge wataonesha uwezo wao.
HENRY14 umeongea kama mshabiki wa mpira wafundishe mashabiki wenzako namna ya kuanalyse mpira
 
RAPHINA YES OR NO?

[emoji2786]| #Arsenal’s sporting director Edu Gaspar has made contact with Raphinha’s agent Deco over a possible January move after Chelsea successfully hijacked their bid for Mykhaylo Mudryk,

reports @NizaarKinsella for @standardsport #afc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom