NdioNaomba kuuliza kama bingwa wa fa anaenda europA
Duh[emoji23]Naomba kuuliza kama bingwa wa fa anaenda europA
Sio arsenal ndo imeiga huo mfumo kuifunga city?? Kaangalie mechi zote za msimu huu (ambazo Man Utd alishinda dhidi ya Man City)....Hapo majibu utakuwa nayo kuwa mliiga mfumo kuwafunga cityNaona timu za leo zimeingia na mfumo wa jana wa Arsenal (3-4-3)[emoji16]
Kweli Arsenal ni mfano wa kuigwa!
Kwani ushashinda?Mtajuta kuingia fainali
Sawa sawa na waona hapa mnavyo hangaika kuzichomoa mbili za Chelsea.Castr, ushindi wa Arsenal ni wa bahati...kinyume cha bahati ni mipango
Unless uniambie plan yenu ilikuwa ni kupata bahati
Kaka vip huko hali yako ipoje......Man Utd&Chelsea wamefunga magoli mengi kuliko Arsenal msimu huu, na moja kati ya sifa ya timu inayopaki bus, huwa hafungi magoli mengi
Kwenye ligi United ana goal differences 28, Chelsea ana 15 na Arsenal ana 8
Mwisho naomba ni attach conv. yenu kuhusu uchezaji wenu View attachment 1510812View attachment 1510813
🤣🤣🤣🤣 mnaongozwa huko mbili bila.....The best parking bus team in the world
Kweli tunaona unacho kimaanisha....Nimefurahi sana uliposhinda jana, sio kwa sababu naipenda timu yenu... You know what I mean [emoji1787]
Tunaziona hapa takataka zenu hapa na Chelsea.We ndundule ndio umeaandika nn kama siyo takataka [emoji23][emoji23]
Sawa sawa ila mpaka sas dk ya 60 Chelsea 2 Man Utd 0,Rashford 0..Dr Rashford anawaangaliaaaa halafu anasema hiiiiiiii.
Tukutane Fainali Chelsea tunampiga 5 kesho.
GGMU
Huyu ni mtu mmoja mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Troisième Ceil Mc cane Gpili sijui mnahali gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Watu watatu hao walikuwa wanatamba sana asubuhiHuyu ni mtu mmoja mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe huna habari yoyote unayoijua, njoo ukamilishe ratiba tu,Nyie matakataka nadhani habari mnayo.
Huna uwezo huo wewe,subiri show ya kihuni ikunyeshee,huyu ni Mikel sio muhindi Emery.Dk ya 30 tu mwali tushambeba.[emoji3][emoji3][emoji16]August 1 ndio utajua kuwa hujui
Mimi nawaza kushindana na wababe sasa hivi, kina Bayern, liver na City sio ww Mason mount[emoji3][emoji3][emoji3]Jiandae kisaikolojia
Nilikosea Nilipaswa niseme Man u 1-3 Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunaenda kutangaza msiba leo pale Wembley..
Majirani mnakaribishwa..kutoa pole
Man u 1-2 Chelsea
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]