Kazi ya Niles Jana ilikuwa kudeal na mahrez tu
Arteta alishtuka game na wolves ,Adama alitusumbua sana, hasa anapocheza na mtu mwenye mguu wa kushoto ,alipoingia Niles ukawa mwisho wa Adama
Sasa Jana Upande wa kushoto city , wana mahrez ,Bernardo na foden
So direct Arteta akamuacha nje Saka na Kola ambao wanatumia Left foot na kumtumia Niles ambaye ni right footer.,ambaye kwenye One against one , Hawapiti kirahis
Mahrez alifanikiwa Ku cut in moja na ndio shuti on target pekee la city .
Akaingia foden ,naye akahama upande
Hii tactical , shida ilikuja ule upande ni mzuri kupiga kross kwa left footer ,ndio maana Niles kross zake hazikuwa na macho.