Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,243
- 76,784
Wazee wa tatu tatuTunaenda kutangaza msiba leo pale Wembley..
Majirani mnakaribishwa..kutoa pole
Man u 1-2 Chelsea
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Wazee wa tatu tatuTunaenda kutangaza msiba leo pale Wembley..
Majirani mnakaribishwa..kutoa pole
Man u 1-2 Chelsea
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Tumetumia zote ila kuna moja ilipasuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa tatu tatu
Tatizo ni kwamba na nyinyi mkibakwa mnabakwa tatu😀😁😂Tumetumia zote ila kuna moja ilipasuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha angalia yasiwakute ya manyumbuTatizo ni kwamba na nyinyi mkibakwa mnabakwa tatu[emoji3][emoji16][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa una maneno[emoji23][emoji23][emoji23]Kazi aliyoifanya Peter Cech pale BAKU tunategemea na Luiz ataifanya pia apo Wembley..
Kila la kheri Chelsea..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Huyu alishakufanya wewe bwege yaani anajipigia tu. Ushawahi kua na mwenza we ni kumuita tu hana longolongo? Ndiyo Chelsea kwa Man u sijui jana ilikuaje mkamgeuzia kibaoKazi aliyoifanya Peter Cech pale BAKU tunategemea na Luiz ataifanya pia apo Wembley..
Kila la kheri Chelsea..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Hahahaha umefika hatua una vimba kiasi hichi[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nawaza kushindana na wababe sasa hivi, kina Bayern, liver na City sio ww Mason mount[emoji3][emoji3][emoji3]
Linapokuja suala la kombe, sisi Chelsea hatujui tunacheza na nani ...sisi ni kubutua tu. [emoji23][emoji23][emoji23]Huyu alishakufanya wewe bwege yaani anajipigia tu. Ushawahi kua na mwenza we ni kumuita tu hana longolongo? Ndiyo Chelsea kwa Man u sijui jana ilikuaje mkamgeuzia kibao
Tunawakumbusha tu ..sisi sio wajinga kuwauzia wachezaji kama hao...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa una maneno[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaMuangalie huyu ametoka wapi? Baba yake anaitwa nani? Mama yake anaitwa nani? Kwanini anaropoka hivi?
Subiri August 1 ,Nasemaje hilo kombe laFA mtatuachia hamtuachii?
Msitake tutumie nguvu nyingi. Sawa!!
Unapoteza muda hapo kwa hilo bichwa majimaji[emoji23]Wewe huna habari yoyote unayoijua, njoo ukamilishe ratiba tu,
Chama limeshakuwa kubwa hili
#Coyg[emoji123][emoji123][emoji123]
Huyu kijana namuona wa kawaida tuAccording to @abolapt .
. it is very likely that Arsenal's official offer will arrive before Tuesday for Joelson .. Arsenal wants to speed up the completion of the deal before an official move from Barcelona and Juventus .. Information confirms that Kia Jorabchian and the player's father are working on completing the deal.View attachment 1511649