Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Castr, ushindi wa Arsenal ni wa bahati...kinyume cha bahati ni mipango
Unless uniambie plan yenu ilikuwa ni kupata bahati
Unless uniambie plan yenu ilikuwa ni kupata bahati
Nikiwa naijaj Arseanl hua naifananisha na Arsenal ambayo Granit alikua ni mpiga pasi nyingi kuliko mchezaji yeyote premier league.
Arsenal iliyokua inamiliki mpira na kufunguka.
Game ya Liva tulishinda ila Liva alimiliki mpira kwa 80% leo tumeshinda ila tumechezeshwa mno nusu uwanja.
Kwahiyo nikisema ushindi wetu ni wa bahati ni kwa mazingira hayo