Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe kama sio shabiki wa arsenal basi, mambo ya u commentator hatutaki. Sis tunajua arteta aliingia na game plan hiyo.

makosa yao hayo, usiite bahati yetu. Auba au Pepe angepaisha ungesema bahati yao City au uzembe wa wachezaji wetu?!?
Ni hivi. Magoli yetu yalikua ni plan.

Ila sisi kukoswa hata baada ya maboko ya wazi, VAR kutufavour wakati siyo kawaida, mashuti yao kupaa hata wakiwa ndani ya 18 ndiyo bahati ninayoisemea hapa.
 
Jamaa yuko vizuri alikua anadaka game za Europa. Nafikiri Arsenal imebarikiwa makipa na forward kipindi hiki.
Game ya Liver huku up a mkuu? Hapo Kuna Kepa wa5 😂😂 I terms of quality
 
Ushindi wenu jana haukuwa wa BAHATI, kocha na wachezaji walikuwa wanajua wanafanya nini. Kila mchezaji ametekeleza majukumu yake ipasavyo. Even luiz jana ameperform vizuri sana.

Mlivyopata goal la kwanza nikaangalia mwendelezo wenu wa kucheza, mlicheza vizuri sana mlistahili kushinda. City walipanic kila mbinu waliojaribu ilikwama.

Haikuwa bahati ilikuwa game plan nzuri. HONGERENI SANA.
Shukrani mkuu, wewe ndio maana mipesa haikauki kwako
 
Ni hivi. Magoli yetu yalikua ni plan.

Ila sisi kukoswa hata baada ya maboko ya wazi, VAR kutufavour wakati siyo kawaida, mashuti yao kupaa hata wakiwa ndani ya 18 ndiyo bahati ninayoisemea hapa.
Hata liver walishawahi kulalamikiwa kua VAR inawapendelea. Game plani yetu ilikua nzuri sana, kama vipi tukubali kutokukubaliana, maana arteta na wachezaji wanaiwaza fainali mida hii, wewe unashupalia makosa yaliyopita. Hata simba inalalmikiwa kubebwa na magoli ya offside. Arteta anajua, apewe quality player ikiwezekana msimu ujao furaha irudi mazima
 
Sijasema Arteta hajui na sijawahi kusema hivyo. Nilisoma taarifa moja ilisema kuna almost 235£ Million zinazoweza kutumika kusajili bila kubreach financial fair play rule.

Kwakua kila mtu anaelewa kitu kwa utofauti nakubaliana na wewe kua tukubaliane kutokukubaliana.
 
Ushindi wenu jana haukuwa wa BAHATI, kocha na wachezaji walikuwa wanajua wanafanya nini. Kila mchezaji ametekeleza majukumu yake ipasavyo. Even luiz jana ameperform vizuri sana.

Mlivyopata goal la kwanza nikaangalia mwendelezo wenu wa kucheza, mlicheza vizuri sana mlistahili kushinda. City walipanic kila mbinu waliojaribu ilikwama.

Haikuwa bahati ilikuwa game plan nzuri. HONGERENI SANA.
Cash kama Cash nipigieni Man u Leo

Sema tatizo VAR
 
Mdau anataka ule mpira wa kufunguka mposses sana yaani.
Sasa umchezee liva au city hivyo na wachezaji wetu hawa si unatafuta kifo tu.
Aelewe kuna plan A,plan B,plan C n.k unaweza tumia yoyote kutegemeana na timu utakayokutana nayo.
Kama mtu wa soka hasa huwezi kucomment vile, hakumbuki kipindi cha Wengrr tuliuchezea Sana mpira na daily tunaongoza kwa umiliki lakini United walikuwa wanatufunga kwa plan hizihizi ambazo Arteta anatumia,
Mpira ukiisha tunaishia kujifariji tu lakini tumewapiga msako kishenzi, tumeupiga mwingi😂😂😂😂huku ubao unasoma 1 - 3 tushapigwa
 
Sijasema Arteta hajui na sijawahi kusema hivyo. Nilisoma taarifa moja ilisema kuna almost 235£ Million zinazoweza kutumika kusajili bila kubreach financial fair play rule.

Kwakua kila mtu anaelewa kitu kwa utofauti nakubaliana na wewe kua tukubaliane kutokukubaliana.

Watu waliojaa ushabiki hawawezi kukuelewa unapofanya objective analysis.

Hata kama timu imeshinda, kama kuna makosa yamefanyika yanatakiwa kuzungumziwa ili yawe addressed in future.

Huu ugomvi uko kila jukwaa la michezo, kuna wale wanazi hawataki timu ikosolewe.

Huyo jamaa unayebishana naye hatakaa akuelewe.
 
Mkuu ww ni genius achana na Hao matakataka aka mashabiki maandazi. Yes ni kweli kabisa ile back pasi ya vvd ndio ilifanya mpate goli mwingine anakwambia ni mbinu za Mwalimu hichi ni kituko
Dogo Unajua soka kweli wewe? Soka ni mchezo wa makosa, kosea uadhibiwe... Kwani huko shule unaenda kusomea ujinga?? 😂😂Bila ya mabeki kufanya makosa forward gani ingeshinda?
Mfano mzuri game ya spurs kola karudisha back pass mbovu kwa Luiz mkorea akatuadhibu,
Game yetu na Chelsea Luiz kafanya mistake kapewa red tukawa pungufu mkapata walau sare ila mngekufa Hata 5 Ile game 😂😂😂
Acha kuandika mashudu bwanmdogo
 
hongereni Arsenal fans timu yenu imecheza vizuri sana jana kwa maana ya game plan,tulio wengi tulienda na matokeo yetu uwanjani tukasahau mpira ni mchezo wa mbinu.Arteta alimuheshimu sana mpinzani wake ndomaana alifanikiwa mimi binafsi nilitaka CITY ashinde jana ili nikapate majibu fainali kama nitampiga Chelsea leo nijue kuwa timu yangu ipo vizuri tayari au ni form tu ya muda,narudia tena ushindi wa jana Arsenal walistahili maana hata mashuti yaliyolenga lango Arsenal alikua hatari zaidi ya CITY.
 
Watu waliojaa ushabiki hawawezi kukuelewa unapofanya objective analysis.

Hata kama timu imeshinda, kama kuna makosa yamefanyika yanatakiwa kuzungumziwa ili yawe addressed in future.

Huu ugomvi uko kila jukwaa la michezo, kuna wale wanazi hawataki timu ikosolewe.

Huyo jamaa unayebishana naye hatakaa akuelewe.

Hahaha sasa hapo ndipo watatofautiana na mimi sana. Kwasababu kuna mmoja hapo kaandika "... wenzako wanawaza fainali.."

Lakini muulize kama anajua kuna nafasi tatu za magoli zilijitokeza, moja ya Auba na mbili za Pepe kama aliziona.

Mkumbushe kua Mustafi alitoa boko kwa Sterling kuunasa mpira ndani ya 6 na kudondoka juu.

Mkumbushe kua Bellerin alitoa pasi kwa Sterling nje kidogo ya 18.

Mashuti ya Sterling, Mahrez, Foden, DeBruyne, Laporte, Mendy, Silva, Gundogan na mengine yamepigwa ndani ya 18, nje ya 6 na nje kidogo ya 18.

Watu wa hivi hua wanaona ushindi tu mengine yote wanayavalia miwani ya mbao.
 
Watu waliojaa ushabiki hawawezi kukuelewa unapofanya objective analysis.

Hata kama timu imeshinda, kama kuna makosa yamefanyika yanatakiwa kuzungumziwa ili yawe addressed in future.

Huu ugomvi uko kila jukwaa la michezo, kuna wale wanazi hawataki timu ikosolewe.

Huyo jamaa unayebishana naye hatakaa akuelewe.
Nakuheshimu Sana mkuu, ila umekuja kwa speed kali bila kujua lengo LA kila mtu hapa, wewe unalozungumza sikupingi lakini angalia dhamira ya unayemdefend inafanana na yako?
Hakuna mtu ambaye hataki timu ikosolewe Mara ngapi hapa tunasema hii timu yapaswa kufumuliwa, wewe Shahidi hadi kule kwenu huwaga nasema timu yangu haipo vizuri tunaijenga kwa sasa, Sasa huko sio kukosoa? Tunaposema kila siku tuna wachezaji low quality huko sio kukosoa?
Kocha kazi yake ni nini? Kwahiyo wewe ulitaka tuendelee kufungwa daily wakati tunaijenga timu,
Unapocheza na opponent Aina ya City kwa sasa kwa timu yetu ilivyo unategemea utamiliki game? Utaepuka kumeza mashambulizi? Kwahiyo wewe unaamini katika bahati na sio mbinu na mipango?

Nimekuona ktk comment flani unaamini uchawi katika soka kwa kurefer game yenu dhidi ya barca,

Kwa hapo tukubali kutokubaliana tu, kila mtu abaki na analoliamini.
 
Back
Top Bottom