Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna watu wanapenda sana tunavyo chezea tatu tatu,hivi lini Liverpool,Man Utd,Chelsea waliwahi kucheza mpira mzuri mbele ya City,wote wanavizia vizia counter ndio wawafunge City.

Sisi City anatufunga sababu aina ya uchezaji wetu na wao ni sawa,ila wao ni bora zaidi yetu,msimu uliopita kwa style yetu ya kupaka rangi tume chezea 4 Etihad,3 Emirates tukaja tukapigwa 3 nusu fainali ya Carling Cup.

Msimu huu kwa mpira wetu huu wa kupaka Randi tumepigwa tatu nje ndani.Jana tumeamua kuja na game plan nyingine ambazo zinatumika sana na Liver,Chelsea,Man Utd mnasema tumecheza vibaya,yaani nyie mnaona raha sisi kufungwa kila siku.
 
Nyie jamaa mlivyotufunga ile juzi nikasema labda timu yetu imechoka baada ya kuchukua ubingwa.

Ila mlichofanya kwa City, hapana aisee. Hii siyo Arsenal ninayoijua.
Mimi sikutegemea kushinda jana. Dish langu limezingua nkatoka kuelekea chimbo namwambia wife ikifika half time nipo nyuma kwa difference ya 2 goals narudi zangu.

Nilipoona kikosi AMN anacheza na Mahrez nkajua hii game kocha amepatia techniqie. Panaweza pakawa na chochote hapa.

Basi Mungu si Athumani, jana nkapata furaha ya kuangalia chama langu tena
 
Kuna watu wanapenda sana tunavyo chezea tatu tatu,hivi lini Liverpool,Man Utd,Chelsea waliwahi kucheza mpira mzuri mbele ya City,wote wanavizia vizia counter ndio wawafunge City.

Sisi City anatufunga sababu aina ya uchezaji wetu na wao ni sawa,ila wao ni bora zaidi yetu,msimu uliopita kwa style yetu ya kupaka rangi tume chezea 4 Etihad,3 Emirates tukaja tukapigwa 3 nusu fainali ya Carling Cup.

Msimu huu kwa mpira wetu huu wa kupaka Randi tumepigwa tatu nje ndani.Jana tumeamua kuja na game plan nyingine ambazo zinatumika sana na Liver,Chelsea,Man Utd mnasema tumecheza vibaya,yaani nyie mnaona raha sisi kufungwa kila siku.
Ndio hiki kitu ambacho mimi Nashangaa na wengine wanasema ni bahati... 😂😂😂😂
 
Mimi sikutegemea kushinda jana. Dish langu limezingua nkatoka kuelekea chimbo namwambia wife ikifika half time nipo nyuma kwa difference ya 2 goals narudi zangu.

Nilipoona kikosi AMN anacheza na Mahrez nkajua hii game kocha amepatia techniqie. Panaweza pakawa na chochote hapa.

Basi Mungu si Athumani, jana nkapata furaha ya kuangalia chama langu tena

Sasa hivi nimeacha kuangalia mpira huku nikiwa na matokeo mfukoni.

Maana msimu unavyomalizika kuna matokeo ya ajabu yanaibuka.

Ila mmejitajidi sana hizi game 2, maana hakuna aliyewapa nafasi kabisa ya kushinda.
 
Ila we jamaa bwana.

City katushambulia.

Kapiga shots.

Mustafi katoa boko.

Bellerini katoa boko.

VAR imetuachia (nimeshangaa)

Martinez kaokoa shot pekee on target ya Mahrez ambayo ilionyesha ingekua goli.

Sterling, Silva, Laporte, Foden, Debruyne, Mendy, wote hawa mashuti yao ama yalipaa au yalimgonga mtu yakatoka nje.

Unataka bahati gani zaidi ya hii?

Wakati hayo yanatokea ulikua unafumba macho?

Castr, hivi ni wewe au kuna mtu ame-hack account? Tangu nianze Kufuatilia michango yako sijawahi kuona unaandika off points kama leo. Our opponent had 14 shots off target and one on target, huo ndio unauona ni ufundi? Ufundi ni ku-shoot off target? Mustafi incidence on sterling was never a penalty, angalia tena na tena. Zile boko was easily intercepted by our players, huo ndio ufundi na umakini
 
Pale uingereza hamna timu inayoweza kushindana na City kwa kucheza mpira mzuri.

Wanatupigia kelele wakati timu zao tunaziona wakicheza na City ,possession 30+% ila matokeo wameshinda wao.

In football, ushindi ni magoli, Sheria za mpira hazijawa reviewed na kusema ushindi ni possession, till then, tumeshinda
 
Pale uingereza hamna timu inayoweza kushindana na City kwa kucheza mpira mzuri.

Wanatupigia kelele wakati timu zao tunaziona wakicheza na City ,possession 30+% ila matokeo wameshinda wao.
Unacho hitaji kwenye mpira ni nini hasa? Ball possession plus defeat au a Win with reasonable ball possession? Arsenal vs Totteham ball possession ilikuwa mpaka 80% na Arsenal kafungwa. Your logic does essentislly not prevail in a morden football.....
 
Kasome #84827
Modern football ipoje?
 
Naona timu za leo zimeingia na mfumo wa jana wa Arsenal (3-4-3)

Kweli Arsenal ni mfano wa kuigwa!
 
Back
Top Bottom