Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mbona wanadai ni moto wa kuotea mbaliHuyu kijana namuona wa kawaida tu
Kawekewa release clause ya £40m
Ana miaka 17
Arsenal wanataka kutumia njia ya kuwapa na wao kijana mmoja na hela watupe huyo Dogo
Anatabiriwa makubwa ,
Mm Leo ndio nataka nikae nimfatilie vzr hasa Youtube