Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

By the way hongereni, kwa kikosi chenu, ukikutana na City hii, halafu ujidai unataka performance na sio results lazima ile kwako

It is either you get results or performance if you are lucky, if not you will get neither of them
Wewe na kusubiri kwa hamu nikutandike
 
Kuna misemo ikizungumzwa au kuandikwa, haimaanishi kile kilichoandikwa.

Siyo kila mmoja ana akili za kuelewa ujumbe unaoandikwa kama fumbo.
Hata tukiwa tunacheza game na unamkosa kosa mtu kuna usemi hua tunatumia wa "Hauna shanga kweli wewe?" Au "Ebwana kweli uchawi upo" ni usemi umezagaa pale kwenye game.

Ila wote tunajua kua huyu mtu hana shanga na siyo mchawi. So ikatokea shabiki wa Man City akasema 'Jana Arteta alikuja na shanga' kuna mtu ataamini kweli Arteta alienda na shanga?
 
Kwahiyo fumbo like lilikuwa Lina maana gani mkuu? Lifumbue hapa maana wengine hatujui hizo fasihi, kiswahili nilikiachaga form2
 
Hahaha sasa hapo ndipo watatofautiana na mimi sana. Kwasababu kuna mmoja hapo kaandika "... wenzako wanawaza fainali.."

Lakini muulize kama anajua kuna nafasi tatu za magoli zilijitokeza, moja ya Auba na mbili za Pepe kama aliziona.

Mkumbushe kua Mustafi alitoa boko kwa Sterling kuunasa mpira ndani ya 6 na kudondoka juu.

Mkumbushe kua Bellerin alitoa pasi kwa Sterling nje kidogo ya 18.

Mashuti ya Sterling, Mahrez, Foden, DeBruyne, Laporte, Mendy, Silva, Gundogan na mengine yamepigwa ndani ya 18, nje ya 6 na nje kidogo ya 18.

Watu wa hivi hua wanaona ushindi tu mengine yote wanayavalia miwani ya mbao.

Kila timu ina sessions za Video Reviews, kila kosa linakuwa addressed, iwe kwa mechi iliyoshinda au iliyoshindwa, hiko kitu lazima kifanyike.

Sasa siyo wote wanaelewa kama hizi reviews zinafanyika, tukimaliza kwa ushindi wanaona ndo basi tena.
 
Kieran Tierney has won Arsenal's Player of the Month award for June #AFC

Tierney got 40% of the fan votes, ahead of Bukayo Saka in second and Granit Xhaka in third.

Congratulations Kieran Tierney well deserved.
#Arsenal
IMG_20200719_093325.jpg
 
Hata tukiwa tunacheza game na unamkosa kosa mtu kuna usemi hua tunatumia wa "Hauna shanga kweli wewe?" Au "Ebwana kweli uchawi upo" ni usemi umezagaa pale kwenye game.

Ila wote tunajua kua huyu mtu hana shanga na siyo mchawi. So ikatokea shabiki wa Man City akasema 'Jana Arteta alikuja na shanga' kuna mtu ataamini kweli Arteta alienda na shanga?

Nimemshangaa sana jamaa, anyway nahisi labda ni mihemuko ya kutetea timu.
 
Hata tukiwa tunacheza game na unamkosa kosa mtu kuna usemi hua tunatumia wa "Hauna shanga kweli wewe?" Au "Ebwana kweli uchawi upo" ni usemi umezagaa pale kwenye game.

Ila wote tunajua kua huyu mtu hana shanga na siyo mchawi. So ikatokea shabiki wa Man City akasema 'Jana Arteta alikuja na shanga' kuna mtu ataamini kweli Arteta alienda na shanga?
Wewe unazungumzia kitu tofauti na alichomaanisha mdau, wewe upo kwenye utani na jamaa kasema ni fumbo....
Na fumbo maana yake ni tungo inayotumia lugha mficho lakini ikiwa na maana fulani....
Ili uelewe yakupasa ulifumbue kwanza,
Tumsubiri bwana Don Clericuzio atufumbue
 
Mimi bado nashangaa tu wanaodai Tunazawadiwa magoli ya bahati ,

Naam

Leo ni Game Kama ya 5 Nashuhudia Arsenal Wakinufaika na Magoli ya Kukabia Juu yaan Pressing Ambayo Nadhani Wengi Wetu Wanadhani Wapinzani Wanakosea Bahati Mbaya

Hiki ni Kitu Wanafanyia Sana Mazoezi na Nafikiri Kadri muda Unavyokwenda Kinazidi Kutunufaisha Maana Kuweza Kumpokonya Mpira Mpinzani Kwenye Eneo Lake ni Rahisi Sana Kumuadhibu Maana Kwanza Anakuwa Hayupo Kwenye Eneo Sahihi na Huku Mhusika Ukiwa Karibu na Goli

Mara Nyingi Sana Liverpool na Man City Wamenufaika Sana na Pressing Katika EpL sababu Kubwa Ikiwa ni Namna ya Ku press na ikumbukwe Si Kila Team inaweza Kufanya Hivi kwa Ufasaha.
 
Ukisema hivi wanakuita mnazi😂😂😂
 
Kieran Tierney has won Arsenal's Player of the Month award for June #AFC

Tierney got 40% of the fan votes, ahead of Bukayo Saka in second and Granit Xhaka in third.

Congratulations Kieran Tierney well deserved.
#Arsenal View attachment 1510805
Kuna low cross ilipigwa na Mendy nafikiri Tierney aliintercept vizuri maana ilikua inamkuta Sterling.

Cross alizopiga Niles nikatamani angekua anazipiga Tierney.

Huyu LB naye ni miongoni mwa great signings, kwa sasa.
 
Wewe unazungumzia kitu tofauti na alichomaanisha mdau, wewe upo kwenye utani na jamaa kasema ni fumbo....
Na fumbo maana yake ni tungo inayotumia lugha mficho lakini ikiwa na maana fulani....
Ili uelewe yakupasa ulifumbue kwanza,
Tumsubiri bwana Don Clericuzio atufumbue

Alichoandika ndicho nilicho maanisha.

Ila wewe umeamua kuichukua ilivyo.
 
Man Utd&Chelsea wamefunga magoli mengi kuliko Arsenal msimu huu, na moja kati ya sifa ya timu inayopaki bus, huwa hafungi magoli mengi

Kwenye ligi United ana goal differences 28, Chelsea ana 15 na Arsenal ana 8

Mwisho naomba ni attach conv. yenu kuhusu uchezaji wenu
Arsenal? Hauimaanishi Man U na Chelsea kweli?
Screenshot_20200719_092110_com.quoord.jamiiforums.activity.jpeg
Screenshot_20200719_093610_com.quoord.jamiiforums.activity.jpeg
 
Back
Top Bottom