Amefanya jitihada kubwa sana tangu kuumia kwa lenoMartinez is a world class goalkeeper
Nakataa bro. Arteta recently amekuwa akitumia 3-4-3 akicheza na wingbacks na wala sio 3-4-1-2Wazee mimi nashabikia mpira as a whole, sibinywi na kua shabiki wa Arsenal.
Kuna vitu vingi hua watu wanavibypass simply kwakua utimu umewashika. Kuna member mmoja alikua anaponda formation ya 3 4 1 2 na nikawa namuambia kwanini tumeresort kwenye hiyo.
Leo Arteta anatumia hiyo hiyo na anaipigia debe kwa nguvu zote. Mara zote mimi hujaribu kuona zaidi ya ushabiki.
Kama ni mbinu ile mechi na Liva bila Virgil kupiga back pass tuliku na plan nyingine? Uliweza kuhisi kama kuna plan pale?
Anyway kila mtu yuko entitled na mawazo yake
Kama kawaidaUmekula?
By nimeshangaa sijamaanisha Mustafi kakosea ila ni kwamba VAR imekua ni vigumu kuifavour Arsenal.Wewe una shida si Bure,
Unaongea as if wewe pekee ndio unamiliki TV😂😂😂😂😂Kwahiyo hujaona Mustafi kama alicheza Mpira? Au unafikiri kila linaloangaliwa na VAR basi ni kosa? Kama ni kutoa maboko kwani City wao hawajatoa maboko?
Mukilewa musiwe mnaingia JF
Namba 10 ya maana ambayo Emery alimuweka Ozil na Arteta ameshamuweka Auba au Pepe kwa nyakati tofauti ingawa nimeona kwa Liva na City ilikua 3 4 3Nakataa bro. Arteta recently amekuwa akitumia 3-4-3 akicheza na wingbacks na wala sio 3-4-1-2
Ili ucheze 3-4-1-2 unatakiwa uwe na number 10 ya maana sana ambayo Sisi kwa sasa hatuna.
that was pressing, ndo inafanya urudishe mpira nyuma, kwa hiyo ni mbinu ya mwalimu, tumefunga against Soton,Norwich,liver n.k hata leo City alifanyiwa hivvyo ila Auba kaweka kwa pepe akadelayMkuu ww ni genius achana na Hao matakataka aka mashabiki maandazi. Yes ni kweli kabisa ile back pasi ya vvd ndio ilifanya mpate goli mwingine anakwambia ni mbinu za Mwalimu hichi ni kituko
7 Shots
6 Shots On Target
️ 4 Goals Kwahiyo mkuu Martinez kuregister saves ni bahati??Ila we jamaa bwana.
City katushambulia.
Kapiga shots.
Mustafi katoa boko.
Bellerini katoa boko.
VAR imetuachia (nimeshangaa)
Martinez kaokoa shot pekee on target ya Mahrez ambayo ilionyesha ingekua goli.
Sterling, Silva, Laporte, Foden, Debruyne, Mendy, wote hawa mashuti yao ama yalipaa au yalimgonga mtu yakatoka nje.
Unataka bahati gani zaidi ya hii?
Wakati hayo yanatokea ulikua unafumba macho?
Mkuu naamini ukilala ukiamka utakuwa vizuri, mimi najua kwamba huna shida ila Kuna jambo halipo Sawa nahisi, maana Hata kujibu comment unazijibu tofauti Sana kama hujaelewa kinachozungumzwa🔥Namba 10 ya maana ambayo Emery alimuweka Ozil na Arteta ameshamuweka Auba au Pepe kwa nyakati tofauti ingawa nimeona kwa Liva na City ilikua 3 4 3
Huyu jamaa huwa talented ila shida yake ni blunders,nahisi analia kuona watoto wanacheza mbele yake(Willock)Hakika.
Na kama nlivyosema ushindi wa Leo AMN anastahili pongezi sana.
Game ilipoisha alipokuwa na David Luiz haieleweki alikuwa analia au kulitokea nini lakini yapo ambayo David Luiz ameongea nae


🙏Sorry mkuu, najua nimeteleza usiniwekee kinyongo sikuwa na Nia mbaya,Unajua kua tunaweza kutofautiana huku tunaheshimiana.
Mimi ninaweza nikasema Willock mzuri ukanipinga ila sitafikia kukuambia wewe umelewa au peke yako unamiliki tv.
Kuna vitu vinashangaza kidogo.
Anyway, kila mtu aendelee na deals zake.
Ndugu yangu ufanye upumzike sasa.Namba 10 ya maana ambayo Emery alimuweka Ozil na Arteta ameshamuweka Auba au Pepe kwa nyakati tofauti ingawa nimeona kwa Liva na City ilikua 3 4 3